Naomba msaada wa mawazo

Naomba msaada wa mawazo

Mnyakyusa5000

Member
Joined
Sep 21, 2021
Posts
83
Reaction score
136
Mimi ni mtumishi wa umma mwandamizi lakini jambo hili limenipita pembeni na nahisi nimeingia kwenye tatizo kuubwa.

Niliomba mkopo bank kwa kutumia mfumo wa utumishi. Kabla mfumo haujapitisha mkopo bank wakawa wameshaniwekea kiasi Fulani Cha pesa. Sikujua kama ndo ulikua mkopo wangu au la. Nilikuja kushituka baada ya kufanya withdrawal na balance kuwa ndogo kuliko mkopo nilioomba.

Nikawapigia bank hawakunipa ushirikiano. Nikarudi kwenye mfumo wa utumishi nikakuta mkopo umekuwa cancelled. Nikajaribu kuomba tena kwa bank nyingine ikakubali mpaka hatua ya mwisho na pesa nikazitumia. Zote za bank ya kwanza na ya pili.

Tatizo limekuja sasa. Kila mshara ukiingia nakuta balance ni 0. Na bank ile ya mwanzo wanataka niende kuboresha taarifa za akaunti yangu

Nahisi watanifunga. Ila pia sina mshara mwezi wa pili sasa..Hali ngumu. NIENDE AU NIJIKAZE MPAKA PESA YAO WAIRUDISHE KWA KUNIKATALIA MSHAHARA
 
Mkuu, wewe ni mwalimu? Mimi pia ni mwalimu na sina nia mbaya kuuliza hili swali.

➡️➡️➡️ Yaani ulipokuta hela zimeingia, japo kidogo kuliko mkopo ulioomba, we ukaanza kuzitwanga ulifikiri zimetoka wapi? Na ukaenda tena kukopa benki ya pili dah! Nenda kwenye benki zote mbili ukawaambie ukweli. Naamini watakusaidia.

Elimu ya pesa, japo kwa yale mambo ya msingi, inahitajika sana. Pole!
 
Mimi ni mtumishi wa umma mwandamizi lakini jambo hili limenipita pembeni na nahisi nimeingia kwenye tatizo kuubwa.

Niliomba mkopo bank kwa kutumia mfumo wa utumishi. Kabla mfumo haujapitisha mkopo bank wakawa wameshaniwekea kiasi Fulani Cha pesa. Sikujua kama ndo ulikua mkopo wangu au la. Nilikuja kushituka baada ya kufanya withdrawal na balance kuwa ndogo kuliko mkopo nilioomba. Nikawapigia bank hawakunipa ushirikiano. Nikarudi kwenye mfumo wa utumishi nikakuta mkopo umekuwa cancelled. Nikajaribu kuomba tena kwa bank nyingine ikakubali mpaka hatua ya mwisho na pesa nikazitumia. Zote za bank ya kwanza na ya pili.
Tatizo limekuja sasa. Kila mshara ukiingia nakuta balance ni 0. Na bank ile ya mwanzo wanataka niende kuboresha taarifa za akaunti yangu

Nahisi watanifunga. Ila pia sina mshara mwezi wa pili sasa..Hali ngumu. NIENDE AU NIJIKAZE MPAKA PESA YAO WAIRUDISHE KWA KUNIKATALIA MSHAHARA
Inatakiwa uende huwezi kukimbia tatizo, you have to overcome problems ,(uncertainty) in other words you have created a problem which can only be resolved by yourself
 
Huu mfumo wa PEPMIS utawaingiza kwenye matatizo watumishi wengi ambao ni LOW SCORE.

Maana mfumo uko automatic, taarifa zimekuwa synced, hakuna tena mambo sijui ya kalete kitambulisho cha mfanyakazi na NIDA, hakuna nenda kwa HR akakusainiee, yani automatic chapchap..

Sasa wewe ni mmoja ya low score mloingia kwenye 18 za PEPMIS.

Screenshot_2024-07-29-01-25-30-289_com.android.chrome-edit.jpg

Screenshot_2024-07-29-01-27-26-459_com.android.chrome-edit.jpg
 
Mimi ni mtumishi wa umma mwandamizi lakini jambo hili limenipita pembeni na nahisi nimeingia kwenye tatizo kuubwa.

Niliomba mkopo bank kwa kutumia mfumo wa utumishi. Kabla mfumo haujapitisha mkopo bank wakawa wameshaniwekea kiasi Fulani Cha pesa. Sikujua kama ndo ulikua mkopo wangu au la. Nilikuja kushituka baada ya kufanya withdrawal na balance kuwa ndogo kuliko mkopo nilioomba.

Nikawapigia bank hawakunipa ushirikiano. Nikarudi kwenye mfumo wa utumishi nikakuta mkopo umekuwa cancelled. Nikajaribu kuomba tena kwa bank nyingine ikakubali mpaka hatua ya mwisho na pesa nikazitumia. Zote za bank ya kwanza na ya pili.

Tatizo limekuja sasa. Kila mshara ukiingia nakuta balance ni 0. Na bank ile ya mwanzo wanataka niende kuboresha taarifa za akaunti yangu

Nahisi watanifunga. Ila pia sina mshara mwezi wa pili sasa..Hali ngumu. NIENDE AU NIJIKAZE MPAKA PESA YAO WAIRUDISHE KWA KUNIKATALIA MSHAHARA
Kufungwa hakupo hata siku moja midhali kithibitisho cha mkataba kwa njia ya kujaza fomu za kuomba mkopo kipo.

Kibubwa nenda Bank, hasa uliyoanza kuomba mkopo na wakamissbehave wenyewe na kukuletea kiwango cha chini ambacho haujaomba!

Ninadhani hao ndiyo chanzo cha tatizo hili.

Ukienda wataangalia mfumo mzima wapi kulipotokea tatizo na watarekebisha.

Mkopo wa aina yoyote hauwezi kukomba mshahara mzima bila kubakisha 2/3 ya take home kama masharti ya mikataba ya mikopo ya wafanyakazi inavyotaka.

Kama itaonekana ulizidisha kiwango cha kukopa kwa kujua ama kutokujua basi mtabagain nao ili ngapi wakuachie ya kurudi nayo nyubani kuhemelea watoto.

Lazima watakurekebishia makato, hawawezi ng'ang'ania kukata mshahara mzima, sheria haiwaruhusu kufanya hivyo.
 
Napata nguvu angalau..

Asante mkuu.. angalau naanza kupata nguvu
 
Huu mfumo wa PEPMIS utawaingiza kwenye matatizo watumishi wengi ambao ni LOW SCORE.

Maana mfumo uko automatic, taarifa zimekuwa synced, hakuna tena mambo sijui ya kalete kitambulisho cha mfanyakazi na NIDA, hakuna nenda kwa HR akakusainiee, yani automatic chapchap..

Sasa wewe ni mmoja ya low score mloingia kwenye 18 za PEPMIS.

View attachment 3055601

View attachment 3055602
mkuu sijitetei lakini kiukweli nina uhakika sikukosea chochote kwenye mfumo. Kama ni low score hilo sikatai mana sikuutengeza mm . Aya mie low score hao bank ilikuwaje na wao??
 
Mkuu, wewe ni mwalimu? Mimi pia ni mwalimu na sina nia mbaya kuuliza hili swali.

➡️➡️➡️ Yaani ulipokuta hela zimeingia, japo kidogo kuliko mkopo ulioomba, we ukaanza kuzitwanga ulifikiri zimetoka wapi? Na ukaenda tena kukopa benki ya pili dah! Nenda kwenye benki zote mbili ukawaambie ukweli. Naamini watakusaidia.

Elimu ya pesa, japo yale mambo ya msingi, inahitajika sana. Pole!
Si nilikua najifanya nina hasira kwa nn hawajanijibu kitu chochote nilipo wajulisha. Walisema watanitafuta badae .zikapita 2 weeks.. ndugu yangu pesa kwenye akaunti for 2 weeks maisha haya? Na mpaka wa Leo hawajanitafuta zaidi ya ujumbe nilioupata Juzi hapa .huo ujumbe ndo unaninyima usingiz
 
Usingetumia ile pesa ya bank ya kwanza...
All in all wafuate mkuu upate iliyo haki yako
 
Salary slip inasoma aje?

Ishu ndogo sana hiyo kaa chini kusanya taarifa za kutosha anza kushughulika na jambo moja baada ya jingine.

Maisha haya tulipofika kuna cha kuhofia Mkuu?
Salary slip iko poa..MSHAHARA unasoma. Ila bank balance ni 0. Naanzaje hapo .nshaingia mtegoni
 
Usingetumia ile pesa ya bank ya kwanza...
All in all wafuate mkuu upate iliyo haki yako
Nilikosea. Nilikaa wiki 2 sijatumia hela huku nawatafuta..sema sikwenda tawini sababu ya ziara za kikazi..walikuwa wananivizia sijui..wao wameanza kucheza na mhahara tu
 
Back
Top Bottom