Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

Hizo enzi gani unazungumzia?
sijawadharau nimesema wana option ya kuchagua vya kuangalia kwenye mtandao kuliko vya maana.
2010s...Sasa sio kwamba hawafanyi hivyo.
Wanafanya wanakosa majibu ndio wanakuja huku JF.
Sidhani kama mtu anayeijua JF atashindwa kuijua Google
 
Kheee bure bure tu
 
2010?? Basi sawa. Nitamtumia link akachek hiko kitabu kina majibu.
2010s...Sasa sio kwamba hawafanyi hivyo.
Wanafanya wanakosa majibu ndio wanakuja huku JF.
Sidhani kama mtu anayeijua JF atashindwa kuijua Google
 
Binafsi sikuwa najua jibu la hilo swali, ila nimepata jibu huko huko na nimesoma miaka mingi ilopita.
najua how useful google is.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…