Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
2010s...Sasa sio kwamba hawafanyi hivyo.Hizo enzi gani unazungumzia?
sijawadharau nimesema wana option ya kuchagua vya kuangalia kwenye mtandao kuliko vya maana.
Wanafanya wanakosa majibu ndio wanakuja huku JF.
Sidhani kama mtu anayeijua JF atashindwa kuijua Google