Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

Um
Kheri ya mwaka mpya wanajukwaa la elimu?

Naomba mnisaidie haya maswali ya:

1. The Rydberg constant for hydrogen is 1.09678×107m-1 and that for singly ionized helium is 1.09722.Given that the mass of the helium nucleus is four times that of the hydrogen nucleus.Calculate the ratio of the electron mass to proton mass.

2.Find the ratio of Rydberg constant for deuterium and hydrogen

Wadau naomba na solution mnitumie ili nielewe!

Karibuni Sana

Umewafuata wanafunzi wenzako wameshindwa kukusaidia?
 
Nawashangaa vijana yani sijui google kwa tanzania walipookea vipi !
mtu unaweza kumuuliza nitafutie jambo fulani au anabisha bila jibu ila ana simu anabaki kuuliza
simu zinatumika kuingia Insta, snap, Tiktok. Alafu ni wakiume hao. #smh
 
EBD193DA-B0E4-4D8F-A04C-2ED3023A3BF1.jpeg
😀
 
😂😂..wewe ndo unawadharau madogo kisa kuna google utadhani ina kila kitu...Enzi zetu tunasoma hakukuwa na google na tulisurvive.
Hizo enzi gani unazungumzia?
sijawadharau nimesema wana option ya kuchagua vya kuangalia kwenye mtandao kuliko vya maana.
 
Back
Top Bottom