Mc Charles Turuka
Member
- Sep 21, 2019
- 6
- 6
Mkuu Huyo ndugu yako hajapata Mtibabu wa kuweza kumtibia maradhi yake ya homa ya ini aka Hepatitis B Virus. Anitafute mimi kwa wakati wake ili niweze kumtibia na aweze kupona maradhi yake.TIBA YA HOMA YA INI NI IPI?
Ndugu zangu, Wanajukwaa wenzangu Kuna Ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na Maumivu ya Mbavu za Kulia pamoja na Kukojoa Mkojo wenye rangi ya Kahawia na Kutokwa na Jasho Jingi wakati wa Usiku.
Baada ya vipimo alionekana ana hepatitis B na Tayari ini limeshaanza kushambuliwa hali ya kuweka viupele kwa juu japo si kw wingi.
Katika kutafuta tiba ya Shida hii amehamgaika sana na hajapata dawa mpaka sasa zaidi ya kuzunguka tu.
Kwa heshima kubwa naomba msaada wa Tiba sahihi ya shida hii?
Ahsante.
Ahsante saana SankaraKunywa juisi ya mbogamboga (Mchicha,majani ya maboga,chinese,matembele unayablend) asubuhi na jioni glass yenye ml 250 kwa siku 45.
Nimekuelewa Kaka,Lakini Hivi kweli kwa hali Kama Hii mtu anapata wapi hata uwezo wa Kumtapeli mtu?Mpeleke hospitali pia kuwa makini mkuu huku kuna wapigaji.
Broh wapigaji wapo kila sehem, hata Sehemu za ibada. Lakini hiyo isiwe sababu ya ww kushindwa kupata tiba sababu ya kuhofia wapigaji.Nimekuelewa Kaka,Lakini Hivi kweli kwa hali Kama Hii mtu anapata wapi hata uwezo wa Kumtapeli mtu?
Fikra za jinsi hii zitakuponza. Si kweli kwamba eti kwa vile haumli simba ukikutana naye, basi na yeye atasita kukutafuna!Nimekuelewa Kaka,Lakini Hivi kweli kwa hali Kama Hii mtu anapata wapi hata uwezo wa Kumtapeli mtu?
TIBA YA HOMA YA INI NI IPI?
Ndugu zangu, Wanajukwaa wenzangu Kuna Ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na Maumivu ya Mbavu za Kulia pamoja na Kukojoa Mkojo wenye rangi ya Kahawia na Kutokwa na Jasho Jingi wakati wa Usiku.
Baada ya vipimo alionekana ana hepatitis B na Tayari ini limeshaanza kushambuliwa hali ya kuweka viupele kwa juu japo si kw wingi.
Katika kutafuta tiba ya Shida hii amehamgaika sana na hajapata dawa mpaka sasa zaidi ya kuzunguka tu.
Kwa heshima kubwa naomba msaada wa Tiba sahihi ya shida hii?
Ahsante.
Nimekuchek mkuuNjoo inbox