Naomba msaada wa Tsh.250,000/=

Sasa kumbe unazo techniques za kutosha, basi msaidie jamaa. Nimesoma reactions zako hapo juu, sina haja ya kubishana nawewe. Shikamoo
 
Oya mkuu, kama una nia ya kumsaidia wewe msaidie tu. sasa akatafute kazi ya ulinzi leo? huo mshahara atalipwa lini? na deadline ya kulipia chuo imefika. Hebu kueni mnafikiria basi kidogo.
Afanye wk 1 kisha amfuate boss wake. Hatakataa kumpa advance. Lengo hapa ni lazima aonyeshe kupambana kwanza. Akiona pagumu arudi hapa binafsi ntamchangia 100,000 ila nione efforts zake kwanza
 
Hiyo 360000 bet mkeka tuu wape Barcelona, Real Madrid, Juventus na Man city utapata zaidi ya million moja.
 
Kama upo hapa dar es salaam kwa sasa unaweza kuonana na mh.Paul Makonda ukamueleza shida yako, anaweza kufanya jambo kwa ajili yako coz ni moja kati ya vijana wenye moyo na utu hasa kusaidia watu wenye shida.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
pole mdogo wangu..
ambatanisha na kitambulisho chako ili tujue hilo jina kwenye kiambatanisho ni wewe..
 
Mtu amejieleza toka ndani ya Nafsi yake lakini humu vilaza wanamkejeli,wanamponda wengine wanamdhalilisha wamejisahau kua shida ni ya kila mtu hapa duniani
MLETA MADA NAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU NIKUCHANGIE NILICHO NACHO,,[emoji1321]
 

Mwizi siku zote hamwamini mtu[emoji1321]
 
Nenda Radioni, hasa kwa Zembwela, CloudsFM, EFM n.k. Usisahau TV's
Utapata michango kama una nia, uwe na details kama hizi za chuo na za kwako dogo, yawezekana, kina Nick wa Pili wasikilize muda huu EARadio, walipitia maisha hayo hayo ya kuunga unga, wakasoma mpaka kujiajiri, nawe utafika, pambana dogo, hii ni vita kwako..Usijali na watakaokubeza, usitukane wa kuwajibu, wewe jali watakaokuwa positive na ombi lako. Kila la kheri...
 
Uchaguzi mkuu 2015 kura ulipiga? Na ulimpa nani kura yako? Kati ya elimu bure had fm4 au elimu bure had chuo?
Wabongo bhana, km hujisikii kumsaidia mtu ama hauna pesa ni bora ukae kimya, mara mia hata umpe pole kuliko maziganya haya unayoboronga, huwez jua ni kias gani unamkwaza mwenzio..
 
Mtu amejieleza toka ndani ya Nafsi yake lakini humu vilaza wanamkejeli,wanamponda wengine wanamdhalilisha wamejisahau kua shida ni ya kila mtu hapa duniani
MLETA MADA NAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU NIKUCHANGIE NILICHO NACHO,,[emoji1321]
0689997808 namba ni hiyo hapo ndugu
 
Kama upo dar tukupe namba za mafundi ujenzi ukawe saidia fundi per day unapata 10000 lako kama ww sio mvivu
Pesa imekuwa ngumu sana kipindi hich mdogo wangu hata makusanyo sadaka church yamepungua wachungaj wana lalamika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…