William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kuna watu wanataka Mo atoke Simba kwa kupigwa na mawe. hivi vituko wanavhosema vinaletwa na Mo mwenyewe ni mtego.
Siamini kama kweli Ni viongozi wa Simba ndio waliomleta hiki kiituko na kumpa umeneja. Au kuna watu wa Yanga wamepenyezwa kuiua simba kabisa.
Hapa tuwe wakweli hii Timu bora ata wangempa Maxime au Fikiri asistance aliyefukuzwa Coastal kama sio Mkwasa au Julio. Wote hao ni bora mno kuliko huyu.
Hiki ni kituko haswa. Takwimu kabla ya kuwa kocha msaidizi uko Laja Fadli David alikuwa kocha wa klabu Ya South Africa Murtzuburg United kwa miaka 6.
Ana wastani wa kupata point 1.18 kwa mechi kwenye mwaka wa mwisho akiwa kocha wa ligi Dalaja la kwanza South Africa 2022-2023.
Hizo ni point chache kuliko kocha yoyote aliye ligi kuu kwa sasa.
wakati msimu uliopita aliishusha daraja.
Baada ya kukosa timu toka atoke Murtzubirg mwaka 2023 ndio akaajiliwa kwenye bench la laja. llaja. Toka kocha mkuu miaka sita adi msaidizi hahahahaaaa
Aliifundisha Orando Pires mwaka moja Timu ilitoka nafasi ya Pili hadi 6. Na alipofukuzwa ikawa ya pili orando hadi msimu huu.
Hivyo hafai kulinganishwa na Mgunda, Wala mkwasa au Maxime. Au ata Kali Ongala. Ana hadhi ya Makocha wa Ligi daraja la kwanza. hafai ata kuwa kocha wa pamba au Mashujaa.
Mwaka juzi aliishusha Murtzubirg United. Mwaka unaofata akaiacha hukohuko chini wakamtema.
Kwanini viongozi Simba wanaacha historia yake ya Ukocha mkuu kwa miaka Saba wanakuja kujibanza kwenye kivuli cha Kuwa benchi la ufundi la Laja.
Viongozi akina Mangungu Wamemuachia Mo zigo lote la Lawama. Wakampiga nae Picha asije kuwaruka Sijui anatoa wanamzunguka hahaha