Naomba msamaha Mgunda kwa kujaribu kufananisha na pandikizi David. ndio kocha mwenye CV mbovu zaidi ligi kuu kwa sasa Hafai ata kuwa kocha wa pamba

Tatizo la simba siyo kocha, narudia tatizo la simba ni wanachama, Simba inahitaji, (transformation), mabadiliko makubwa ya uendeshaji atakayefanya mabadiliko hayo ni wanachama
 
Kuandika kwenyewe mtihani...Punguza wenge
 
Bado unahangaika tu na ishu ya huyu kocha uzi wa ngapi huu unaanzisha juu yake? Achana na mambo ya Simba andika kuhusu utopolo yako tumeshakuchoka. Au huna kazi ya kufanya?
 
Hawa madogo huwa wanatafuta wanaume humu JF kwa kila namna. Anahangaika sana na Simba. Akiandika ana mtumia na Hersi amwone kuwa ameiponda Simba.
huyo Mshumbusi ni mwanasimba mwenzenu, sema kwakua kaamua kuongea ukweli munampinga,......... sawa, ngojeni ligi ianze mutamuelewa tu.
 
Ligi ikipamba moto, unakuja na ID nyingine na kuanza kuporomosha matusi kwa Mangungu 😂😂😂
V

Yanga wenye akili ni wawili tu na wewe haumo.

Vincent Kompany ametoka kuishusha Burnley kutoka EPL kwenda Championship ila Bayern Munich wamemuamini na kumpa awe kocha wao.

Macho ya wenye akili hayawezi kuwa sawa na Wapumbavu.
 
Acha ujuha wewe.
Arteta katoka kuwa Kocha msaidizi Man City na kwenda Arsenal, sasa cha ajabu nini kwa kocha wa Simba?
Huyu alikuwa kocha mkuu kwa miaka 6. Sio Arteta aliyeanza kama asistance akapanda.

simba wanajua sifa Zake ndiomaana wanaepuka Cv zake zote hasa akiwa kocha.
Watu wamempiga picha mo kabisa asije wageuka uko kuwa Anatoa ela wanampiga
 
Zile zama za viongozi kujua kila kitu zimeisha.
Sasa hata unawaongoza wanajua zaidi kuliko hata hao viongozi.
Wajue kuwa zama hizi sio wote ni mashabiki maandazi.
Mashabiki wa sasa wanajua mambo mengi kuliko wanaongoza kwa hiyo wajue wanapochangua chochote kitajulikana kinaga ubaga.
 
Unaumia ukiwa wapi?
We sio Shabiki kaka. Simba inachanwa chanwa tu sasaivi
V

Yanga wenye akili ni wawili tu na wewe haumo.

Vincent Kompany ametoka kuishusha Burnley kutoka EPL kwenda Championship ila Bayern Munich wamemuamini na kumpa awe kocha wao.

Macho ya wenye akili hayawezi kuwa sawa na Wapumbavu.
Kwa akili zako kapewa timu kwa sifa kuishusha timu Daraja?

Campany ni kocha chipkizi kaka. Sawa na arteta. Huyu ni kocha kwa miaka kumi na hajafanya lolote kwa muda wote huo.

Leo anakuja baada ya kukosa timu na kuwa asistance wa mtu.

Hakuna muujiza kwenye vitu bayana kaka
 
umemuona akifundisha timu gani. anavyeti lkn sio kocha. hajawah fanya lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…