Naomba mtu anifanye kuwa mchawi

February Makamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
2,151
Reaction score
2,983
Cambodia!
Nahitaji mtu anifundishe (anitrain) uchawi

Kama ni hela nitamlipa baada ya zoezi. Bajeti yangu ni laki5.

Ninataka mtu anitrain kuamka usiku na kuacha mwili kitandani na kuanza kutembea katika ulimwengu wa roho, kuingia ndani ya nyumba watu wamelala na wasikuone, Kuwapa usingizi wa pono na kuanza kuwachezea.

Kupaa na ungo mkoa kwa mkoa. Kupotelea na kuendesha fisi.

Huenda nikishuhudia hayo nitaamini kuna Mungu!

Nipo Daslam.
 
Sawa mkuu njoo GM
 
Utoto raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…