Naomba mtu anifanye kuwa mchawi

Naomba mtu anifanye kuwa mchawi

Neno uchawi ni upuuzi to.

It's just make-believe word, it doesn't really exist.
 
Cambodia!
Nahitaji mtu anifundishe (anitrain) uchawi

Kama ni hela nitamlipa baada ya zoezi. Bajeti yangu ni laki5.

Ninataka mtu anitrain kuamka usiku na kuacha mwili kitandani na kuanza kutembea katika ulimwengu wa roho, kuingia ndani ya nyumba watu wamelala na wasikuone, Kuwapa usingizi wa pono na kuanza kuwachezea.

Kupaa na ungo mkoa kwa mkoa. Kupotelea na kuendesha fisi.

Huenda nikishuhudia hayo nitaamini kuna Mungu!

Nipo Daslam.
Nitafute
 
Ukikamilika uende benki ukachukue pesa, ukifanikiwa nami nitajifunza uchawi ili niende mchana kweupe benki kuchukuwa pesa.
 
Back
Top Bottom