Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Ili iweje? Muislam akiongoza nchi Kuna tofauti gani na asiye muislam kwenye kuswali msikitini?Kabisa.. tunahitaji muislam aongoze nchi hii
Zanzibar wote waislam mbona hakuna malalamiko kwamba kila mwaka anaongoza muislam?
Acha udini atakayekubalika na watu wengi ataongoza nchi ila so kwa dini yake hii nchi ni ya watanzania siyo ya waislamu au mabohola nk.
Sent using Jamii Forums mobile app