Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
- Thread starter
- #41
Utakua Lijuakali umeweka profile ya kike
Dua la kuku! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu mwenyewe huna uhusiano nae mzuri sijui hayo maombi yako utayapeleka kwa nani?
Watu wenye roho mbaya za kishetani wanna mawazo kama yako.
Walioshindwa maisha always huombea wenzao mabaya. Pole Sana[emoji57][emoji57]