Uchaguzi 2020 Naomba Mungu hawa wabunge wa CCM wasirudi Bungeni

Kabisa.. tunahitaji muislam aongoze nchi hii
Ili iweje? Muislam akiongoza nchi Kuna tofauti gani na asiye muislam kwenye kuswali msikitini?
Zanzibar wote waislam mbona hakuna malalamiko kwamba kila mwaka anaongoza muislam?
Acha udini atakayekubalika na watu wengi ataongoza nchi ila so kwa dini yake hii nchi ni ya watanzania siyo ya waislamu au mabohola nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 na 3 wanatumika sana kutukana kwakua hata kinachoandikwa ndan ya miswada hawakijui
 
Kiongozi wa magasho tz
 
Sasa Ndugai ana wapenda kuwatumia maana hawana akili. Wako kwa ajili ya uchonganishi na umbea. Ndugai nae tangu augue ugonjwa usio julikana nae kaingia kundi hilo hilo... Sitamani kuliona bunge Ndugai akiwa ana liendesha..
 
wabunge wa CCM wamejawa na unafiki tu na kujipendekeza bila ya kujua ni nini wajibu uliowapeleka pale bungeni
 
Wabunge wote wa CCM naomba Mungu wasirudi
 
Hatuja wahi kuwa na spika asiye na akili kama ndungai
Sasa Ndugai ana wapenda kuwatumia maana hawana akili. Wako kwa ajili ya uchonganishi na umbea. Ndugai nae tangu augue ugonjwa usio julikana nae kaingia kundi hilo hilo... Sitamani kuliona bunge Ndugai akiwa ana liendesha..
 
Dua la kuku! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu mwenyewe huna uhusiano nae mzuri sijui hayo maombi yako utayapeleka kwa nani?

Watu wenye roho mbaya za kishetani wanna mawazo kama yako.

Walioshindwa maisha always huombea wenzao mabaya. Pole Sana[emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…