Uchaguzi 2020 Naomba Mungu hawa wabunge wa CCM wasirudi Bungeni

Utakua Lijuakali umeweka profile ya kike
 
Mbunge Kesi baada ya uchaguzi 2020 wizara itamuhusu.
 
Huyi kesssssy aliwahi kusema wanaomkosoa rais wapigwe risas nami nasema risas zinamfaa yey kwa sbb ni sumu kwa taifa
 
Huyu hata shule hakumaliza... nannijuavyo harudi bungeni.. Magufuli hakangaika sana kupata mawaziri hadi kukodi upinzani kwa sababu sample iliyo baki ilikua ni ya wajinga watupu.
Huyi kesssssy aliwahi kusema wanaomkosoa rais wapigwe risas nami nasema risas zinamfaa yey kwa sbb ni sumu kwa taifa
 
Wanajisumbua, 2025 ni zamu ya Waislamu, sasa wafanye mchezo ndio watajua nchi hii ina utamaduni wake.
Acha kukariri Mkuu wangu!!! Mtapigwa mpaka mchakae, wapi katiba inasema akitoka Muslim aje Mkiristo wapi!??
 
8. Mbowe

9.Esther Bulaya

10. Msigwa

11.

12.

14

15
 
Kuna wakati natamani nichome sindano ya usingizi, nilale Hadi Oktoba, matokeo yasipoeleweka, nichome dozi ingine Hadi 2025, nisiwe sehemu ya historia chafu Kama ninazozishuhudia sasa
Naomba mungu asipokee dua yako mbaya inayo taka iminye haki ya Wananch wa Tanzania Kwan watanzania wote wanataka Rais magufuli aendelee
 
Ww ndo wa kupuuzwa na ccm yako
 
Naomba mungu asipokee dua yako mbaya inayo taka iminye haki ya Wananch wa Tanzania Kwan watanzania wote wanataka Rais magufuli aendelee
Usijumuishe wenye akili katika kundi la mamuma! Mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kuunga mkono uhanithi wa kichato chato?
 
Naona shoga unatutangazia biashara ya m..ku..nd..u.. , sh ngp unauza ?
 
Nakuhakikishia wabunge uliowataja watarudi Bungeni kwa kishindo,hilo halina ubishi.
 
Hillwater ya kwake.. yanatengenezwa hapo mapinga.. ndio maana anajipendekeza sana.
Eeh[emoji3064][emoji3064]ninavyoyapenda hayo maji kumbe boss wake ni huyo Kessy mleta upuuzi tu bungeni
 
Huyo namba 1 ndio mjinga zaidi analeta hoja ya kipuuzi kweli jana "eti tumuongezee muda raisi katiba sio msahafu inabadilishwa" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni upuuzi wa kiwango cha lami hakika.
Huyo mwarabu koko ni mbweha tu.
 
Izo ni ing'oo za wazi wazi... kwani mwamba kafanya nini jimboni kwake zaidi kupiga nyagi na ruzuku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…