Uchaguzi 2020 Naomba Mungu hawa wabunge wa CCM wasirudi Bungeni

Sabufa
Kibajaj
 
Job Ndugai unamtaka arudi ?
 
Wote Mpaka baba yako anae juta kukusomesha alafu ukawa mbulula
Usijumuishe wenye akili katika kundi la mamuma! Mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kuunga mkono uhanithi wa kichato chato?
 
Kufa tu io itakusaidia
Kuna wakati natamani nichome sindano ya usingizi, nilale Hadi Oktoba, matokeo yasipoeleweka, nichome dozi ingine Hadi 2025, nisiwe sehemu ya historia chafu Kama ninazozishuhudia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…