S STANLEY MALIMBE New Member Joined Aug 31, 2023 Posts 1 Reaction score 4 Mar 9, 2024 #1 Naomba msaada zaidi kuhusiana na ufunguzi wa kampuni ya usafi (general cleaning)
Bexb JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 715 Reaction score 1,619 Mar 10, 2024 #2 Habari mkuu, ukihitaji kusajili kampuni na ukahitaji usaidizi karibu tukuhudumie. Tutakamilisha usajili wa kampuni ndani ya siku mbili pekee, tutakushauri masuala yote ya kodi yanayohusu makampuni. Karibu sana 0755963775 calls/WhatsApp
Habari mkuu, ukihitaji kusajili kampuni na ukahitaji usaidizi karibu tukuhudumie. Tutakamilisha usajili wa kampuni ndani ya siku mbili pekee, tutakushauri masuala yote ya kodi yanayohusu makampuni. Karibu sana 0755963775 calls/WhatsApp
karume msaka JF-Expert Member Joined Sep 25, 2018 Posts 412 Reaction score 721 Mar 22, 2024 #3 STANLEY MALIMBE said: Naomba msaada zaidi kuhusiana na ufunguzi wa kampuni ya usafi (general cleaning) Click to expand... Biashara kichaa
STANLEY MALIMBE said: Naomba msaada zaidi kuhusiana na ufunguzi wa kampuni ya usafi (general cleaning) Click to expand... Biashara kichaa
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,302 Reaction score 7,815 Mar 23, 2024 #4 una connection yakupata tenda? if yes usianze na kampuni kwanza sajili sole proprietorship kata leseni then ingia mzigoni kama huna connection kitulize biashara inawenyewe hiyo
una connection yakupata tenda? if yes usianze na kampuni kwanza sajili sole proprietorship kata leseni then ingia mzigoni kama huna connection kitulize biashara inawenyewe hiyo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 23, 2024 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw