Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,112
- 1,429
Pole boss, ulichomoa fasta au ulisubiri sanaa..Kuna demu mmoja huwa namtumia kwa ajili ya kujiridhisha coz nina mke yuko mbali na mkoa ninaoishi sasa leo genye zimenishika haswa nikaona nimtafute akaniambia njoo lkn simuamin bc kufika tu tukapiga story tukaanza yale mambo yetu mm huwa natumia sana kinga bc akanivalisha ile nazamisha rungu nikahisi ndomu imepasuka ikabid nitoe fasta nikavaa ingine nikaendelea na show dah niliendelea kwasababu nina ugumu nilivyomwaga sikuwa tena na hamu vp hapo ndugu zangu nahitaji kumeza PrEP au nikaushe lkn sikuona hata blood au naweza ambukizwa kwa majimaji nina stress hatari.
Anyway usiumie hata mimi ishawahi nitokea nikamezaga hizo antibiotics..Kuna demu mmoja huwa namtumia kwa ajili ya kujiridhisha coz nina mke yuko mbali na mkoa ninaoishi sasa leo genye zimenishika haswa nikaona nimtafute akaniambia njoo lkn simuamin bc kufika tu tukapiga story tukaanza yale mambo yetu mm huwa natumia sana kinga bc akanivalisha ile nazamisha rungu nikahisi ndomu imepasuka ikabid nitoe fasta nikavaa ingine nikaendelea na show dah niliendelea kwasababu nina ugumu nilivyomwaga sikuwa tena na hamu vp hapo ndugu zangu nahitaji kumeza PrEP au nikaushe lkn sikuona hata blood au naweza ambukizwa kwa majimaji nina stress hatari.
Shukran sana kesho ngoja nikabebe mzigo wangu niupige mdogo mdogo ila nasikia zina madhara kwenye figo na liverAnyway usiumie hata mimi ishawahi nitokea nikamezaga hizo antibiotics..
Baada ya muda nilipima nikajikuta niko poa.
Kwa ajili ya kusawazisha kila kitu, We meza hizo prep, na zile anti biotics kwa ajili ya ptsd.
Longlivve bro.
Tofauti na hapo..hio warning call.. kuwa makini na michepuko.
[emoji3][emoji3][emoji3]weka picha wakupee muongozo
Nilichomoa nilihisi tu hili joto cyo lkn nikavaa ingine mda huo huo nikaendelea nilivyomwaga sikua na hamu tenaPole boss, ulichomoa fasta au ulisubiri sanaa..
Nomaa,luis figo na liverpool huwa wanateseka sana ukinywa hayo ma PEP guardiolaShukran sana kesho ngoja nikabebe mzigo wangu niupige mdogo mdogo ila nasikia zina madhara kwenye figo na liver
Dah[emoji24][emoji24]Nomaa,luis figo na liverpool huwa wanateseka sana ukinywa hayo ma PEP guardiola
Kiukweli nikiwa nae huwa sichepuki kwanza naogopa akijua nachepuka najitahidi nimhamishe aje niliko maana nateseka sanaAcha wasiwas mkuu Hakuna kitu Kama hicho fanya hima umtoe mkeo mkoani Kuna mabodabodawengi San na Ni npostive wengi pia Ni hatari kwako mtoe tu vingine unaweza kukosa mtaani mke akakuletea
Duh[emoji24][emoji24][emoji24]jiandae kufa
,[emoji2][emoji2]hamna sipo hvyo wanaume tuna taabu sana cyo siri kukaa mbali na mpenz ni shida inanitesa sana sometime usipofanya sex unaona kabisa kichwa hakipo sawa au nipige nyeto nikiwa na wife hata ile hamu ya kuwa na mwanamke mwingine sinaEti huwa namtumia.
Utafkiri porn star flani au mandingo.
Kumbe kachovu flani tu. Moja chali.
Maarifa gn ndugu wakati kinga nilitumia bahati mbaya tu halafu huwez amini mm huwa ni mshauri sana kwa vijana wenzangu ambao wanacheza rafu huwa nawaambia tumieni kinga bc tu leo imenitokea nikitoka kwenye hili janga sirudii tena mm jamanDaaaaah,vijana wanaangamia kwa kukosa maarifa