mzalendo namba moja
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 807
- 1,634
Anzia baraza la kata, utapewa form utajaza then utaenda baraza la usuluhishi mtaitwa wote ( mote humu mtaitwa waone kama wanaweza wapatanisha ) ila huwa kiini macho, na badae kabisa mkitoka bila kupatana kuna barua hiyo mmoja wenu ataipeleka kwa wakili kwa ajiri ya kumuandalia mashitaka yake ya kutaka ndoa ivunjwe.. baada ya hapo hatua inayofata mmoja atapewa wito wa mahaka na mkeka wake, then anaweza u fail kupitia mwanasheria wake kuujibu yani nahisi ndani ya siku 14 toka aupate then watakutana huko kizimbankIkiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari.
Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine.
Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.
Zinavunjwa sana tu mahakamaniKwa wakristo si nasikia ndoa inatengwanishwa na KIFO, au
Kufa mzee ndoa ndio itakuwa imevunjika
Zinavunjwa sana tu mahakaman
Zilibid zivunjwe na aliyefungisha ndoa, kama kanisani ilibid ivunjwe kanisaniZinavunjwa sana tu mahakamani
Tanzania chombo chenye mamlaka ya kuvunja ndoa ni mahakama tu ( na si mahala pengine popote pale ). Kanisani wanafungisha ndoa ila vyeti wanavyotoa ni vya serikali. Huko kwingine ni kujaribu kupatikanisha ikatokea kimenuka, ( hapa inategemea na wahuni wenyewe walio kwenye hiyo ndoa na usikilizaji wa wapatinishi wao )Zilibid zivunjwe na aliyefungisha ndoa, kama kanisani ilibid ivunjwe kanisani
Zipo za mahakamani hizo ndio zinatakiwa zivunjwe mahakamani
Ninachomaanisha ni kwamba mnaweza msiachane mkipata usimamizi mzuriTanzania chombo chenye mamlaka ya kuvunja ndoa ni mahakama tu ( na si mahala pengine popote pale ). Kanisani wanafungisha ndoa ila vyeti wanavyotoa ni vya serikali. Huko kwingine ni kujaribu kupatikanisha ikatokea kimenuka, ( hapa inategemea na wahuni wenyewe walio kwenye hiyo ndoa na usikilizaji wa wapatinishi wao )
Mie ninae kupa haya maelekezo nimeishakuwa kwenye ndoa, na ndoa yangu ya kwanza ilipoleta sintofahamu tulivunja kisheria ( ilikuwa ndoa ya kanisani na ni RC ) ilivunjiwa mahakamani. Kanisa lilijaribu ku solve ila ikagomba mwamba, kazi yao ikaishia hapo ikabaki ya mahakamani..Ninachomaanisha ni kwamba mnaweza msiachane mkipata usimamizi mzuri
Yaani mkifungishwa kanisani na kanisa linapewa amri ya kuwapa chet kwa niaba ya serikali nafikiri ivyo ivyo kwa waislam
Sasa mkifika kanisani kwa sababu yakuvunja ndoa, kwa hekma za kanisa linaweza kuwapa maelekezo mazuri ndoa isivunjike
Ujue kitu kibaya sana kuvunja ndoa na pengine mna watoto tear
Formality ya usuluhishi serikali ya mtaa.. Atapata nyaraka zinazoonyesha usuluhishi ulishindikana hivyo shauri lipokelewe mahamaniIkiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari.
Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine.
Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.