ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Uamzi mzuri kuliko kuwekeana sumu kila la kheri
Polee sanaMie ninae kupa haya maelekezo nimeishakuwa kwenye ndoa, na ndoa yangu ya kwanza ilipoleta sintofahamu tulivunja kisheria ( ilikuwa ndoa ya kanisani na ni RC ) ilivunjiwa mahakamani. Kanisa lilijaribu ku solve ila ikagomba mwamba, kazi yao ikaishia hapo ikabaki ya mahakamani..
Khasante sana senior, imenirahisishia hii...barikiwa mkuu.Formality ya usuluhishi serikali ya mtaa.. Atapata nyaraka zinazoonyesha usuluhishi ulishindikana hivyo shauri lipokelewe mahamani
Huko mahakamani utasajili kesi kwa kuwakilisha nyaraka muhimu lama
Vyeti vya ndoa
Barua toka serikali ya mtaa nk
Mtqpangiwa siku na muda wa kesi.. Kesi itaendeshwa kwenye private court
Kama hakuna mali mliyochuma pamoja kipindi chote cha ndoa yenu hiyo kesi ni rahisi
Kama kuna mgawqnyo wa mali muwe mmeshajipanga
Mara Nyingi lakini sio mara zote, Ukiangalia sababu zinazovinja ndoa huwa ni chache Sana ukilinganisha na Faida/ sababu za kuendelea Kuishi pamoja. Ni ubinafsi Tu wa Binadamu.Ikiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari.
Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine.
Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.
Hivi kanuni ya kuwa mwili mmoja hata kwa waislamu ina apply?Mshakuq mwili mmoja labda muuane tu lasivyo mahakamani
[emoji23][emoji23][emoji23]Hama hapo unapoishi kaishi kwingine..!!
Siku yakikushinda unarudi kuendelea ulipoishia..!!
Kwani hujui Quran ni copy n paste ya Biblia?Hivi kanuni ya kuwa mwili mmoja hata kwa waislamu ina apply?
Mafundisho ya Kuran mengi yanakinzana na Biblia. Labda mfanano upo kwenye vitabu vya Torati ya Musa.Kwani hujui Quran ni copy n paste ya Biblia?
Pole sana mkuuKwa upekee nipende kuwashukiru nyote mlionipa ushauri, nmepata pa kuanzia, nitafanyia kazi ili tuone mwisho wake.