Naomba muongozo wa Jinsi ya kuvunja Ndoa au kutoa talaka

Khasante sana senior, imenirahisishia hii...barikiwa mkuu.
 
Ikiwa yuko mtu ana specific details, naomba msaada tafadhari.

Ndoa ni ya Kikristo, muhusika anahitaji kuvunja na kuendelea na maisha mengine.

Kuna sababu za kuvunja, sasa naomba kujua mchakato wake.
Mara Nyingi lakini sio mara zote, Ukiangalia sababu zinazovinja ndoa huwa ni chache Sana ukilinganisha na Faida/ sababu za kuendelea Kuishi pamoja. Ni ubinafsi Tu wa Binadamu.

Kama unabisha niambie kwanini walioachana huwa wanarudiana baada ya miaka kadhaa? Kiasi kwamba tunaogopa kuoa single Maza maana huwa hawaachani na wazazi wenzao hata iweje labda afe Tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…