Kisutu ipo?. Hii ya kupigiwa simu.
imani potofu hizo gentleman,
kiufupi sana mahakama ya ICC inadeal specifically na mambo makuu kadhaa kama ifuatavyo
1. Crimes of genocide, yaani kuangamiza watu wa kabila, dini au rangi fulani na kuwatokomeza kabisa
2. Crimes against humanity, kudhuru na kuwaangamiza raia wasio na hatia kwa kiwango kikubwa mahospitalini, kwenye nyumba za ibada, mashuleni n.k, ubakaji, utekaji, utumikishwaji wa watu kingono au kijeshi, kupotea kwa watu kiholela n.k
3. Crime of aggression,
4. War crimes which are grave breaches of the Geneva conventions in the context of armed conflict and include, for instance, the use of child soldiers; the killing or torture of persons such as civilians or prisoners of war; intentionally directing attacks against hospitals, historic monuments, or buildings dedicated to religion, education, art, science or charitable purposes.
pamoja na hayo,
ni lazima mahakama za ndani ya nchi husika sikose uwezo wa kushughulika na mambo hayo kisjheria ndipo sasa mahakama ya ICC inaweza kuingilia kati katika kutafuta haki za waathirika.
kinyume na hapo ni makelele tu.
Tanazania hakuna shtaka lolote kwa ICC kuja kupoteza muda na rasilimali zake kulingana na majukumu yake.
Na haitakuja kutokea mahakama ya ICC kuja kushughulika na hayo mambo ya mauji kwasababu nchiu yetu ni ya amani.
na matukio ya machache ya wananchi kupoteza maisha kwenye ajali, majanga ya moto au kuporomoka majengo na migodi au fumanizi za wananchi kuibiana wake yanatokea hata kwenye nchi nyingine na ni jambo la kawaida na ICC haihusiki hata kidogo.
