at is your weaknesses???Habari ya muda huu,
Mm ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview...
Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Je! usipopata muongozo itakuwaje? Stand up for what you believe.Habari ya muda huu,
Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview.
Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Tafuta suti kali ya DARK BLUE na TAI NYEKUNDU halafu chini tafuta MOKA NYEUSI zenye mchongoko mbele wa kuchoma roho.
Hakikisha unafanya mazoezi ya kuongea kizungu pamoja na kutabasamu kisomi. Lafudhi yako iwe laini usizungumze kama wasukuma au wamang'ati utaonekana LISHAMBA.
Nyoa vizuri na hakikisha unajiamini hata kama unajibu pumba basi jibu kwa kujiamini na kwa sauti ya juu.
Kwanza hata hao wanaosimamia interview wengi wao ni VILAZA na Hawajui kizungu wanababaisha tu. Nenda kama MFALME.
Usisahau kupiga mswaki.
Cc: Mbaga Jr Lamomy Nyani Ngabu cocastic Extrovert Mshamba_hachekwi Kapeace Kalpana dronedrake The Icebreaker Mpwayungu Village
Thanks🙏Je! usipopata muongozo itakuwaje? Stand up for what you believe.
Inadeal na Electrical, Heating, Ventilation and Air Conditioning, telecommunications, ICT and Security Systems.Kama ungesema hiyo kampuni ina deal na nini? Ningejua scope ya maswali yao kwenye Safety otherwise all the best
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Kwanza jua kampuni inajihusisha na nini, ijue mission statement yao. Soma news zao
Pia ijue kichwani CV yako au fomu uliyojaza na ujue kufafanua.
Ukiingia utawasalimu halafu subiri wakuambie ukae.
Kuwa msafi kimuonekano. No jeans na tshirts wala raha.
Kwanini unataka kazi hiyo?
Ijue kazi unataka
Jiuze wewe sio vyeti vya karatasi hizo na maksi sijui ufaulu etc
Kizaidi soma soma ya gugo pia upate mengi kuyajua tu baada ya humu.
Jionyeshe unajiamini usiwe muoga unapowajibu..
Cheki kama utajua mshahara kiasi au range.. Ikitokea wakakuuliza swali ambalo hadi kesho sipendi kusikia watu walisema wameulizwa ni kuonyesha kampuni ni bomu fulani hawajitambui.
Haya anza kujisomea
Kila la kheri