Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninao MkuuUna uzoefu wa kuchakata mikataba?
Nyie graduate jiongezee, UN , East African community wanatoa nafasi za internship, lakin hamuombii,,ebu omba East African community Ila Wana u-seious hatariWakuu habari.
Mimi ni kijana wa kitanzania, jinsia ME nimekuja hapa kwa nia ya kuomba nafasi kwa Internship kwenye NGO, Kampuni au sehemu yoyote watakao ona nafaa.
Elimu : Nina Degree ya Sheria LLB
Makazi Dar es salaam
Umri :20's
Mawasiliano: 0787460347
Ninao Mkuu
Sio awaombi jamani wanaomba lakini awapatiNyie graduate jiongezee, UN , East African community wanatoa nafasi za internship, lakin hamuombii,,ebu omba East African community Ila Wana u-seious hatari
Sawa mkuuNitakutafuta mkuu, kuna mambo naweka sawa na yana uhitaji wa mwanasheria
Bora umesema hiloSio awaombi jamani wanaomba lakini awapati
Wanaferi kwenye application, CV mbovu,cover letter mbove unategemea utaitwaSio awaombi jamani wanaomba lakini awapati
Mmh enh ebu tupe muongozoWanaferi kwenye application, CV mbovu,cover letter mbove unategemea utaitwa
Mkuu tulia basi upate Maji tafadhali.... [emoji23]Wanaferi kwenye application, CV mbovu,cover letter mbove unategemea utaitwa
Uwe unapitia website ya utumishi,,,jiunge na TAESA pia.Wakuu habari.
Mimi ni kijana wa kitanzania, jinsia ME nimekuja hapa kwa nia ya kuomba nafasi kwa Internship kwenye NGO, Kampuni au sehemu yoyote watakao ona nafaa.
Elimu : Nina Degree ya Sheria LLB
Makazi Dar es salaam
Umri :20's
Mawasiliano: 0787460347
Nimejiunga kote mkuuUwe unapitia website ya utumishi,,,jiunge na TAESA pia.