Naomba nafasi ya Internship

Naomba nafasi ya Internship

Jimmy04

Member
Joined
Nov 16, 2020
Posts
16
Reaction score
11
Wakuu habari.
Mimi ni kijana wa kitanzania, jinsia ME nimekuja hapa kwa nia ya kuomba nafasi kwa Internship kwenye NGO, Kampuni au sehemu yoyote watakao ona nafaa.

Elimu : Nina Degree ya Sheria LLB
Makazi Dar es salaam
Umri :20's
Mawasiliano: 0787460347
 
Nyie graduate jiongezee, UN , East African community wanatoa nafasi za internship, lakin hamuombii,,ebu omba East African community Ila Wana u-seious hatari
 
Wakuu habari.
Mimi ni kijana wa kitanzania, jinsia ME nimekuja hapa kwa nia ya kuomba nafasi kwa Internship kwenye NGO, Kampuni au sehemu yoyote watakao ona nafaa.

Elimu : Nina Degree ya Sheria LLB
Makazi Dar es salaam
Umri :20's
Mawasiliano: 0787460347
Uwe unapitia website ya utumishi,,,jiunge na TAESA pia.
 
Back
Top Bottom