Goti la samaki Senior Member Joined Jan 3, 2018 Posts 144 Reaction score 78 Sep 1, 2021 #1 Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏 Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392
Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏 Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Sep 2, 2021 #2 Ngoja Waamke Kwanza
Dogo GSM Member Joined Jul 31, 2021 Posts 65 Reaction score 91 Sep 2, 2021 #3 Duh kweli hali ngumu,,enzi zetu miaka ya 2010 kushuka chini ukisema tujitolee katika taasisi,kampuni au ofisi yako kwa malipo ya malazi na chakula humpati mtu.
Duh kweli hali ngumu,,enzi zetu miaka ya 2010 kushuka chini ukisema tujitolee katika taasisi,kampuni au ofisi yako kwa malipo ya malazi na chakula humpati mtu.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Sep 2, 2021 #4 Goti la samaki said: Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula[emoji120] Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392 Click to expand... Mambo yataenda sawa home boi..just keep pushing. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
Goti la samaki said: Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula[emoji120] Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392 Click to expand... Mambo yataenda sawa home boi..just keep pushing. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,540 Reaction score 3,333 Sep 2, 2021 #5 Goti la samaki said: Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏 Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392 Click to expand... Ni wakati sasa Watanzania tufikirishe akili zetu zaidi. Hii human resource muhimu sana ipo ina hang tu. Naumia sana moyoni.
Goti la samaki said: Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏 Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392 Click to expand... Ni wakati sasa Watanzania tufikirishe akili zetu zaidi. Hii human resource muhimu sana ipo ina hang tu. Naumia sana moyoni.
Mahemela_Tz Senior Member Joined Nov 22, 2016 Posts 178 Reaction score 96 Sep 4, 2021 #6 Wazee wa kushona na kufumua