Naomba neno moja tu la Kingereza ambalo halina tafsiri rasmi ya Kiswahili

Hegemony

Nawe sema kwa kimombo neno 'jambisha' kwa maana ile baadhi ya watu hushtuka au kupoteza nguvu wakifanyiwa
 
Disguise
 
Kuna baadhi ya maneno ya kingereza huwezi huwezi tumia word to word translation maana linapoteza maana
 

Usipate shida kuumiza kichwa. Hata kiingereza kimeiba na kuchukua maneno ambayo hakikuwa nayo toka kilatin na kifaransa..maneno kama geography biology nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ