Naomba niambiwe namna ya kutoa jiwe dogo kwenye figo

Je unakunywa maji mengi sana? Kama ni hivyo basi hayo maumivu ndio linasogea endelea kunywa maji pole sana, najua maumivu yake, au Google kuhusu kidney stones Ila kama muoga usifanye hivyo, pia angalia traditional medicine ya kidney stones sio mbaya, Mimi niliangalia na nilichagua ya tangawizi pia ukipenda hata ya apple
 
natumiaje mkuu
Juice ya lemon unachanganya na mafuta ya mzeituni kwa kiwango sawa. kama juice ni nusu glass basi mafuta nayo yawe angalau kipimo hicho hicho, unakunywa kama mara 2 au tatu kwa siku kwa siku. MziziMkavu anaweza kuelezea kwa undani zaidi.
 
Mkuu yanaweza kutengeneza majabali na miamba humo tumboni? Hatari sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

nahis yanaweza....majabali kama yale ya lake victoria eenh?
 
sasa Hilyo picha uliyo weka ndio Maradhi yako kwenye figo? Kweli wewe unaumwa?au unataka masihara? Kama kweli unaumwa nitafute nipate kukutibia upate kupona.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Una jiwe..? Au vi crystals..?? Ungekuwa na kidney stone sidhan kama saiv ungekuwa una chart JF..!? Kwan ulifanya vipimo vya mkojo( urinalysis) au ulipima Renal function test ( vipimo vya figo) ndo waka kwambia una ilo jiwe..?? Tuanzie hapo. Na ilo jiwe crstal wali kwambia ni uric,hippuric,calicium oxalate, amorphus phosphate?? Ipi moja wapo..? Tuanzie hapo..
 
nilifanya ultra sound mkuu
 
hyo picha ni ya belt nililikuwa navaa .so likanifanya sisikojoe ovyo
 
ahaaaa linabinua chura hadi raha nalimiss belt langu la kuuzia sura mjini
daaah nakuonea huruma madem wa siku hizi bhana mnazingua so sio kupunguza mwili tu una needs zako zingine za kiboya eti huuzie sura kama una chura pole nakusaidia dawa ni tafuna mbegu za boga zitakusaidia kutoa hyo kidney stone
 
daaah nakuonea huruma madem wa siku hizi bhana mnazingua so sio kupunguza mwili tu una needs zako zingine za kiboya eti huuzie sura kama una chura pole nakusaidia dawa ni tafuna mbegu za boga zitakusaidia kutoa hyo kidney stone
ahahaaa mkuu
 
Teh hivi kumbe mambo ya diet ni magumu sana eeh! Mm kimbaumbau halafu nakula kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…