Naomba niambiwe namna ya kutoa jiwe dogo kwenye figo

Naomba niambiwe namna ya kutoa jiwe dogo kwenye figo

Huwa kuna technolojia ya kusaga mawe kwenye figo na ini, i thought watakuwa wajerumani, wanalisaga kwa computer sijui wanatumia miozi, uliza sijui km bongo ipo..! Pole sana rafiki. Ila endelea kukata hiyo weight kwa njia asilia km mazoezi na diet maji ni moja ya njia bora zaidi ya kupunguza uzito hasa maji moto/uvuguvugu. Hiyo weght inaweza kuwa na hatari mbaya zaidi hilo jiwe..!
Upo sawa Mkuu ! Kuna Surgery ndogo wanafanya 'Lapascopic Sx' ni incision ndogo / kijitindu kidogo hivi. Maji ni muhimu sana sana lakini kwa kiwango
 
shukrani kwa ushauri .nimeanza kunywa maji toka jana kweli nina nafuu sana.tatizo mi mvivu kwenda chooni kukojoa kila mara sitaki kuharibu papuchi yangu
linauma sana jamani khaa sio mchezo
asante sana
Kumbe papuchi inaharibika ukikojoa sanaa plz nijuze maana nakojoa sana
 
Kula chapati nne na supu ya kongoro asubuhi, usisahau kuweka limao na pilipili, mchana chips na kuku nusu hasa wa kienyeji , usiku kula supu ya sato na chapati 3 na pepsi ya baridi ndani ya siku kumi utakua poa pole sana mkuu.
 
Pole sana, wataalamu watakusaidia, au kwanini uainge mwambia huyo dr wako akushauri namna yakukitoa hicho kijiwe kidogo
 
Pole sana.ila tatizo sio ayo mazoezi au ilo belt bali tatizo ni wewe mwenyewe kutokunywa maji yakutosha na kukojoa.Itakua ulikua unaona uvivu kulivua.Watu wengi wasiokunywa maji ya kutosha nakukojoa wanapata ayo mawe.Dawa yake ni kunywa maji mengi.na ata huo unene penda kunywa maji moto yenye asali asubui mapema kabla ya kupiga mswak na jion kabla yakulala itakusaidia.
 
Naombeni msaada wa dawa ya kutoa kajiwe kwenye figo. Daktari alisema ni dogo sana litatoka lenyewe ila napata maumivu makali sana nimepata hii shida kutokana na zoezi la kupunguza uzito,

Nilikuwa navaa belt lenye chupi la kubana tumbo
61jctR92lBL._UY500_.jpg
so nilikuwa sikojoi kojoi wala kunywa maji mengi so nikapata shida hiyo kuna kajiwe kwenye figo. sifanyi tena mambo ya kupunguza uzito nimepata shida.
Miss Natafuta according to your statement wewe huna jiwe kwenye figo bali una tatizo la mtoto wa Jiwe, kwa kitaalamu tunasema encrysgedutyeugexyogobin.

Note: ukiweza kulitamka hilo jina utapona. I promise you. Au kwa maelezo zaidi: www.infunkunyobgogba.com
 
Naona hilo chupi belt lenyewe kaz yake ni kubana 2mbo 2 na kuachia matak.o yaendelee kunenepa.....sa ndo kupunguzaje uzito hapo....
Au n kupunguza 2mbo....
Anyway pole sana, fuatilia ushaur wa Aggyjay hapo juu.
 
Dadangu kwa siku jitahidi unywe lita 4 hadi 5 za maji
Utapata shida wiki ya kwanza kukojoa mara kwa mara lkn wiki inayofuata utaona mabadiliko ktk mwili mzima
Kaka yangu alikua na tatizo hilo hilo baada ya kunywa tu maji kwa siku alikua akinywa lita 5
Ndani ya miez miwili tu vijiwe havikuonekAna tena
 
Huwa kuna technolojia ya kusaga mawe kwenye figo na ini, i thought watakuwa wajerumani, wanalisaga kwa computer sijui wanatumia miozi, uliza sijui km bongo ipo..! Pole sana rafiki. Ila endelea kukata hiyo weight kwa njia asilia km mazoezi na diet maji ni moja ya njia bora zaidi ya kupunguza uzito hasa maji moto/uvuguvugu. Hiyo weght inaweza kuwa na hatari mbaya zaidi hilo jiwe..!

Wanatumia USB nini
 
Back
Top Bottom