Naomba nielweshwe! Hivi kwanini mkoa ambayo Kuna dini Fulani Kuna vitendo vya ukatili? Mauaji wa albino,vikongwe n. K?

Naomba nielweshwe! Hivi kwanini mkoa ambayo Kuna dini Fulani Kuna vitendo vya ukatili? Mauaji wa albino,vikongwe n. K?

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Bado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani?

Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo Kama shinyanga,simiyu na maeneo mengine ila kuna Ile dini Fulani wao wanasifika na mikoa kwa vitendo vya ushoga na umalaya aisee
 
Shukuru umezaliwa Muislaam labda usingezaliwa na wewe ungekuwa hivo waombee tu wenzio sio kuwakebehi.
 
Huu mwaka tangu umeanza mada za udini zimetamalaki sana. Sijui kuna ajenda gani inaendelea.
 
Kwa hiyo masikini mmegawana majukumu eti
Hakuna dini za namna hii mkuu
Aidha umuamini Mungu au Shetani
Ukichanganya zote basi wewe ni mnafiki tu
Lazima umfuate mmoja
 
Bado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani?

Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo Kama shinyanga,simiyu na maeneo mengine ila kuna Ile dini Fulani wao wanasifika na mikoa kwa vitendo vya ushoga na umalaya aisee
sidhani kama ni dini, hili ni suala la kabila zinazoendekeza ushirikina
mimi siyo mkatolik, lakini kwa hili hapana unawaonea
mbona moshi na arusha hakuna hivi vitendo
na kwa taarifa yako wasukuma wengi ni wapagani
 
Ukisema dini fulani ujue kuna madhehebu yake ambayo yameenea ukanda huo na waumini wake ni watenda dhambi wakubwa habari za wokovu hawafundishwi
 
Kwamba Waislam ndio watakatifu?! Nyie kina Boko Haram, Al shaabab, Al qaida, Al Hamas, Islamic state, taiban nk, na Pale sudani Kuna dini nyingine ila Islam?😂😂
Huna unalojuwa kuhusu hao Boko haram wala huko Afghani Stan.. inahitaji kujielewa kwanza. Anyway ndugu kaongelea Albino hapa kwetu..ulishasikia Maeneo ya waislaam yakitokea?? Zanziber Pwani nk ... ungekuwa nnje ya Tanzania ungeona namna machungu yake na fedheha kujitambulisha mtanzania kwa ajili ya huu ushenzi,wewe umehamia sijui Boko haram?
 
Ni kweli
kwa nchini, kitakwimu, mikoa waliyojaa wagalatia ndio zinaongoza kwa mauaji na umasikini
Takwimu hazidanganyi
1718982375759.png

1718982527204.png
 
Kwamba Waislam ndio watakatifu?! Nyie kina Boko Haram, Al shaabab, Al qaida, Al Hamas, Islamic state, taiban nk, na Pale sudani Kuna dini nyingine ila Islam?[emoji23][emoji23]
Mleta mada kaelezea hapa Tanganyika
 
Back
Top Bottom