Naomba nielweshwe! Hivi kwanini mkoa ambayo Kuna dini Fulani Kuna vitendo vya ukatili? Mauaji wa albino,vikongwe n. K?

Naomba nielweshwe! Hivi kwanini mkoa ambayo Kuna dini Fulani Kuna vitendo vya ukatili? Mauaji wa albino,vikongwe n. K?

Kwamba Waislam ndio watakatifu?! Nyie kina Boko Haram, Al shaabab, Al qaida, Al Hamas, Islamic state, taiban nk, na Pale sudani Kuna dini nyingine ila Islam?😂😂

Huyo bwana hajui kitu mfundishe pia kuna:
Adolf Hitler (Wa Ujerumani),
Joseph Sterlin (Soviet ya zamani)
Hawa kila mmoja ana damu za maelfu wa watu na kwa pamoja mabwana hao wawili tu inasekena;
Huenda, jumla yao kwa pamoja wameua watu wengi kuliko vita yoyote iliyowahi kutokea Duniani kwa pamoja.
*HAWA NI 'MAUSTAADH KABISA, SI NDIO EE?

Lakini tusiende mbali saana maana wengine walemavu hamsomi na hmjawahi kuwa na ufuatiliaji makini.
Sasa tusiende mbali saana, kwa hivi karibuni tu kuna mtu anaitwa Putin (Wa Urusi)
Utataka idadi ya Roho alizonyofoa huko Yukrain juzi tu?
Ach huyu vipi kuhusu 'Mpendwa' wenu Netanyahu?
HAWA NAO WASILIMISHWE WAITWE AKINA AL... AU?

Someni mtanue ufahamu wenu acheni kusambaza maujingaujinga.
 
Kwamba Waislam ndio watakatifu?! Nyie kina Boko Haram, Al shaabab, Al qaida, Al Hamas, Islamic state, taiban nk, na Pale sudani Kuna dini nyingine ila Islam?😂😂
Hizbollar na Alqaida na Taleban
 
Bado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani?

Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo Kama shinyanga,simiyu na maeneo mengine ila kuna Ile dini Fulani wao wanasifika na mikoa kwa vitendo vya ushoga na umalaya aisee
Sasa hapo tatizo ni dini au ulozi?
 
Sema tu kwanini Mikoa ya kanda ya ziwa inaoongoza kwa ujinga huu wa mauaji ya maalbino? Kumbuka ushirikina katika hii mikoa upo juu sana, wao si padre au shehe kutembea na majini na hirizi ni jambo la kawaida sana.
 
Back
Top Bottom