Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Shukuru umezaliwa Muislaam labda usingezaliwa na wewe ungekuwa hivo waombee tu wenzio sio kuwakebehi.Bado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani?
Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo Kama shinyanga,simiyu na maeneo mengine ila kuna Ile dini Fulani wao wanasifika na mikoa kwa vitendo vya ushoga na umalaya aisee
Kwamba Waislam ndio watakatifu?! Nyie kina Boko Haram, Al shaabab, Al qaida, Al Hamas, Islamic state, taiban nk, na Pale sudani Kuna dini nyingine ila Islam?😂😂Shukuru umezaliwa Muislaam labda usingezaliwa na wewe ungekuwa hivo waombee tu wenzio sio kuwakebehi.
sidhani kama ni dini, hili ni suala la kabila zinazoendekeza ushirikinaBado najiuliza Wakuu wala sipati jibu kabisa na linaniumiza Sana naombeni mnipe ufafanuzi kabisa shida nini? Ni mafundisho ya hiyo dini yao? Au dini yao ina kauongo Fulani?
Kuna mikoa Fulani yaani Kama mbeya kuchunana ngozi ni wao, Mauaji ya vikongwe ni shinyanga, na Mauaji ya maalbino lmaeneo Kama shinyanga,simiyu na maeneo mengine ila kuna Ile dini Fulani wao wanasifika na mikoa kwa vitendo vya ushoga na umalaya aisee
Huna unalojuwa kuhusu hao Boko haram wala huko Afghani Stan.. inahitaji kujielewa kwanza. Anyway ndugu kaongelea Albino hapa kwetu..ulishasikia Maeneo ya waislaam yakitokea?? Zanziber Pwani nk ... ungekuwa nnje ya Tanzania ungeona namna machungu yake na fedheha kujitambulisha mtanzania kwa ajili ya huu ushenzi,wewe umehamia sijui Boko haram?Kwamba Waislam ndio watakatifu?! Nyie kina Boko Haram, Al shaabab, Al qaida, Al Hamas, Islamic state, taiban nk, na Pale sudani Kuna dini nyingine ila Islam?😂😂
Unapakatwa wwShukuru umezaliwa Muislaam labda usingezaliwa na wewe ungekuwa hivo waombee tu wenzio sio kuwakebehi.
Mleta mada kaelezea hapa TanganyikaKwamba Waislam ndio watakatifu?! Nyie kina Boko Haram, Al shaabab, Al qaida, Al Hamas, Islamic state, taiban nk, na Pale sudani Kuna dini nyingine ila Islam?[emoji23][emoji23]
Hao ndio wanajibu hivi kwenye mitihaniMleta mada kaelezea hapa Tanganyika
Uchaguzi unakaribia,,,,zitatumika mbinu kama zoteHuu mwaka tangu umeanza mada za udini zimetamalaki sana. Sijui kuna ajenda gani inaendelea.
kabisa lo so sad