Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na zile Nyasi zinaashiria nini?Nahisi utoto au kukosa maana ya "No research No right to Talk"
Hakuna kiongozi (late) atajengewa kama kile kinacho onekana kwenye picha, lazima tutumie akili kufikilia, hata kama tupo mbali ila inafahamika eneo lolote kukiwa na uzio wa mabati ni nini kinaendelea hapo.
Narudia...
"No research No right to speak/write"
Hayo ni maneno tu vijiweni ukiweka ushahidi itapendezaNimesikia kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi kwa sababu wanakimbia kuchanjwa kinga ya corona.Pia sababu nyingine ni kuipenda TZ kwa sababu ya JPM walivyokuwa wanamhusudu.
Hakuna watu wapumbav Kama black Americans .. naoongea with experience na Kama unabisha tafuta tour guides au wale vijana wa Zanzibar watakupa stories zao.Mkuu wamarekani weusi ni watu muhimu sana hapa tanzania kwenye vita ya kiuchumi.wana experience sana kwenye mambo mengi na wana exposure ya dunia. Ila wabongo tunaogopa kuwapa nafasi za uongozi kwa kuhofia watatuchallenge kwenye vinafasi vyetu vya kupatia ugali
Hata Kama akijengewa ghorofa hayati Ni hayati tu kwhy usitufokeeNahisi utoto au kukosa maana ya "No research No right to Talk"
Hakuna kiongozi (late) atajengewa kama kile kinacho onekana kwenye picha, lazima tutumie akili kufikilia, hata kama tupo mbali ila inafahamika eneo lolote kukiwa na uzio wa mabati ni nini kinaendelea hapo.
Narudia...
"No research No right to speak/write
Mkuu naanza ku kuelewa. Mara nyingi weekend. Naenda kuenda kuogelea hotel tofauti nakutana na wamerakani weuzi sana, kila nikienda nakutana na wengine.Nimesikia kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi kwa sababu wanakimbia kuchanjwa kinga ya corona.Pia sababu nyingine ni kuipenda TZ kwa sababu ya JPM walivyokuwa wanamhusudu.
Mkuu wamarekani weusi ni watu muhimu sana hapa tanzania kwenye vita ya kiuchumi.wana experience sana kwenye mambo mengi na wana exposure ya dunia. Ila wabongo tunaogopa kuwapa nafasi za uongozi kwa kuhofia watatuchallenge kwenye vinafasi vyetu vya kupatia ugali
I wanna thank you..!, asap I wanna call my mom here tanzania,targeting stay here for all of my life,in Ancestral lands paradiso.Karibu sana..Bongo hakuna Matata
Kibanda maitiJPM ndani kibanda cha mabati na Nyasi kavu!
Umeongea facts sana.Mimi nimekutana na wanawake wawili, wote wametoka chicago, na wanaishi masaki wamekuja na familia zao (single mothers).
Niliwauliza kwanini Tanzania?jibu ni kwamba walishauriwa na wanasheria wao kwa kuangalia facts mbali mbali kuwa Africa sahemu salama zaidi kwa mtu wa hali ya kati ya kiuchumi ni Ghana na Tanzania. Hivyo walianzia kama kutalii ghana wakaja Tanzania wakapenda, wakaanza taratibu za kuhamia
Wanachokipenda
1. Amani & usalama - hawana hofu ya matukio ya kigaidi ama vita, ujambazi n.k kumbuka hawa wametokea katika state ambayo uhalifu ekithiri sana
2. Gharama za kuishi zipo - Nyumba walizopanga ni kama usd 1000 - 1500, na kwa shughuli zake anazofanya huko marekani anasema, anasevu sana na hiyo inamfanya aendelee kuwekeza huko marekani (stocks n.k) shughuli zake anafanyia online
Na mengine mengi...WANASHAURIWA na wanasheria wao
Walianza kuja akiwa bado yuko hai na hakuna kilichofanyika japo kuwavutia waje zaidi. Na Kabudi alipoulizwa kuhusu hili kwa kutoa macho alionesha namna sheria zetu haziko rafiki kwao.Waje tujenge Asili yetu kwa nguvu zote.
Na ingefaa sana our captain JPM angalikua hai
In fact yeye ndie alie onesha uelekeo na kuusimamia na kuwashawishi hao black americans kwa namna frani.
Kwanza huna adabu, tatizo watanzania tunataka kupata utajiri kwa haraka. Tunataka tuwaibie ndio maana tunawapenda wazungu. Na hao wazanzibar unawasema wewe wanawapenda wazungu hasa wakike ili wapate vitonga.Hakuna watu wapumbav Kama black Americans .. naoongea with experience na Kama unabisha tafuta tour guides au wale vijana wa Zanzibar watakupa stories zao.
Bora ufanye kazi na Mzungu kuliko black Americans
Kweli kabisa na wajamaika pia.Nimesikia kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi kwa sababu wanakimbia kuchanjwa kinga ya corona.Pia sababu nyingine ni kuipenda TZ kwa sababu ya JPM walivyokuwa wanamhusudu.