Tusisahau pia Mbunge aliempoka nafasi 'Sauti ya zege' kule KAHWEH nae aliwaahidi Wapiga kura wake kuwa atawapekela hukohuko kwa 'Trump' enzi zile na akapewa nafasi kweli.Wapo sema kumeibuka wimbi la wanigeria wanatumia ushamba wa baadhi ya dada zetu kwa kuiga rafudhi na swaga za kimarekani na kuwanyandua wakiwapromise American dream.
Kibanda umiza styleJPM ndani kibanda cha mabati na Nyasi kavu!
Wakafe kwa coronaTusisahau pia Mbunge aliempoka nafasi 'Sauti ya zege' kule KAHWEH nae aliwaahidi Wapiga kura wake kuwa atawapekela hukohuko kwa 'Trump' enzi zile na akapewa nafasi kweli.
Sasa mimi binafsi sijapita jimbo hilo muda sasa sijui wameshapaa?
Tusubiri ...wanakuja Na zawadi hao...Karibu sana..Bongo hakuna Matata
Wabaya wa tabia..Back to Africa. Ni mission ya black America kirudu kwao Africa. Ukiingia you tube utawaona wengi sana wakitoa ushuhuda kurudi katika nchi mbalimbali za Africa.
Ngoja watoto wao waanze kuwapiga risasi watoto wenu shule za kataYeah inawezekana..sababu wengi nafahamu wapo sana Arusha na Iringa pia. Acha waje kutuchangamsha.
We ni mjinga zoba wewe.Kwanza huna adabu, tatizo watanzania tunataka kupata utajiri kwa haraka. Tunataka tuwaibie ndio maana tunawapenda wazungu. Na hao wazanzibar unawasema wewe wanawapenda wazungu hasa wakike ili wapate vitonga.
Black Americans hapa ni kwao ni muda sasa wa kuwawekea mazingira ya kurejea na kuja tujenge uchumi wa nchi.
HahahahahahahNgoja watoto wao waanze kuwapiga risasi watoto wenu shule za kata
Kuna Gazeti LA Daily news mwaka juzi mwishoni lilikua na hiyo habari, wengi wanarudi katika nchi za kiafrika.Hayo ni maneno tu vijiweni ukiweka ushahidi itapendeza
Waafrika tuliozaliwa Africa tuna akili nyingi sana kuliko hao watuMkuu wamarekani weusi ni watu muhimu sana hapa tanzania kwenye vita ya kiuchumi.wana experience sana kwenye mambo mengi na wana exposure ya dunia. Ila wabongo tunaogopa kuwapa nafasi za uongozi kwa kuhofia watatuchallenge kwenye vinafasi vyetu vya kupatia ugali
Wapo mkuu.Kigamboni kuanzia Kimbiji Mpaka Buyuni wamenunua viwanja Sana.Nimesikia kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi kwa sababu wanakimbia kuchanjwa kinga ya corona.Pia sababu nyingine ni kuipenda TZ kwa sababu ya JPM walivyokuwa wanamhusudu.