Gulugujatza
Member
- Sep 1, 2024
- 61
- 143
Naomba NIONGEE hili jambo moja kwa moja hata kama sijatoa salamu..
Eeeenyiiii wazazi wa kike Kuna baadhi yenu mnapenda sana kuondoka/kutoka majumbani kwenu huku umebeba mtoto mgongoni au kumshika mkono ukiamini kwamba hata mzee akirudi nyumbani akiambiwa mama flani katoka na mtoto kunakuwa hakuna shida.
Mbaya sio kuondoka na mtoto tu hapana Bali unatoka na mtoto wa mtu unaenda nae uchocholoni kuonana na mwanaume mwingine huku mtoto akiwa mgongoni au pembeni akishuhudia ujinga na ushenzi wa mama unaoendelea mbele yake,Tena wengine hata kutomasa mwilini hutomaswa mbele ya mtoto ni mbaya sana Hiyo.
Isitoshe hapo hapo huyo jamaa ataanza kumshika shika mtoto na kutoa hata pesa ya soda kwa ajili ya mtoto ili aonekane mwanaume Bora kwa mama..,
Nawaomba sana acheni SI jambo sahihi kama unamchepuko wako tafuta njia ya kutoka NYUMBANI kwako lakini Sio njia ya kutoka na mtoto mgongoni au mkonini ili iwe salama Yako.
NAOMBA KUWASILISHA KWENU 🙏🙏