kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,800
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Rubbish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Rubbish
Zitto analijuwa kosa la Mbowe kwa kuwa kuna taarifa alishirikishwa. Baada ya Magufuli kutangazwa mshindi na NEC kwenye uchaguzi ambao hata mimi naamini uligubikwa na wizi wa kura kupitia TISS, Mbowe, Lissu na Lema waliitisha maandamano yasiyokoma.Kwanini nawataadharisha CHADEMA kuhusu Erick, nikwasbabu Mbowe Hana kosa alilotenda lakini Erick alikuwa na makosa yake yakupingana au kushindwa kukubaliana na wenzie alioshirikiana nao kwenye uchaguzi 2015.
Hatuwezi tukafanya mazungumzo kuhusu mwenyekiti tukawa na nguvu yakuwanyamazisha akina mdee, lazima tutalazimika kufanya mazungumzo nao. Tuache wakosaji wafanye wazungumzo, MBOWE SIYO MKOSAJI.
Nakubaliana na wewe kabisahaya ndio mambo yanafanya watawala watuone bogus na kutufanya chochote. yaani Rais anaonyesha wazi anataka kumfunga Mbowe kwa hila halafu watu badala ya kupaza sauti kukataa udikteta,eti wanashauri aombe msamaha. pumbavu kabisa.
Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
Mbowe Ni gaidi au si gaidi Ni mahakama ndo itaamua, nipinga kwa nguvu zote kabisa mbowe kuachiwa Bila mfumo wa sheria kufuatwa, yaan ninyi watu sijui mnajisahaulisha au mmepewa hela, sijui, kesi ya mbowe haina mahusiano yoyote na katiba mpya, na mnajua kabisa, tatzo kubwa watu wanajizima data makusudi,Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu hiyo kumkamata na kumweka ndani.
Erick Kabendera, Januari Makamba, Kinana, Nape na wengine kumbukumbu zinaonyesha wao ndio walioshiriki kuhakikisha kwamba Lowasa anashindwa uchaguzi 2015. Hawa watu ndio walioshirikiana na baadhi ya vijana wa IT kuiba uchaguzi uliomweka madarakani JpM. Nape wiki Ili aliandika kwenye ukurasa wake wa tweeter akijinadi kwamba bila yeye Lowasa angekuwa Ikulu. Alitaka kumwonyesha Polepole kwamba yeye Nape kwenye CCM ni Nani.
Baada ya awamu ya Tano kuingia madarakani JPM Nadhani makubaliano au mategemeo ya akina Kinana yalibadilishwa na ndipo mfumo ulipoanza kupambana nao bila kujali ushiriki wao kwenye Vita ya kuwaungiza madarakani. Walisambaratishwa mmoja baada ya mwingine Hadi ilipozaliwa mfumo mpya. Na hata baada ya kusambaratishwa na kwakuzongatia Bado watu Hawa walikuwa na wafuasi nyuma Yao JPM Nadhani ndipo alipoamua kutowatumia Tena kwenye uchaguzi kama viungo wachezeshaji, in short waliwekwa bench na rigging ya election ikafanyika kwa style tuliojionea.
Kwa kuwa Erick alitambua dhambi iliyokuwa nafsini mwake kuhusu tawala za afrika ilimlazimu kuingia kwenye mazungumzo may be ikiwemo kuomba msamaha kwa sababu anajua wapi alikengeuka. Nimeona kwenye post yake anakiri walifanya vikao zaidi ya 50 na JPM Hadi yeye anatolewa gerezani. Tujiulize Erick ni nani hadi afanyiwe vikao 50 ? Alikosa Nini? Vikao vilihusu Nini? Hakuna aliyejua Erick aliwahi kufanyiwa vikao vya usuluhishi akiwa gerezani hadi Leo alipoandika mwenyewe tweeter. Na kwa muktadha huo lazima tutambue Erick SI mtu mdogo ni mtu mwenye nafasi au alikuwa na nafasi flani kwenye mfumo.
Kwanini nawataadharisha CHADEMA kuhusu Erick, nikwasbabu Mbowe Hana kosa alilotenda lakini Erick alikuwa na makosa yake yakupingana au kushindwa kukubaliana na wenzie alioshirikiana nao kwenye uchaguzi 2015.
Lakini pia nawataadharisha CHADEMA dhidi ya Erick kwa sababu kwa sasa Erick na watawala akina Januari Makamba ni kitu kimoja. Kuwa mwanaharakati sometimes Kuna saidia lakini lazima tuwaangalie vyema hawa wanaotumwa kujadili hoja ya maridhiano wanatumwa na Nani? Kukubaliana nao sometimes nikukubali kununua haki Yako.
Erick na Zitto wamewahi kupingana na utawala uliopo kwa chochote? Means kwa Sasa hawa pia ni watawala ila hawana nafasi zinazoonekana Kwa macho. Madhara ya Mbowe kwenda kwenye mazungumzo kwa kuwasikiliza akina Erick nikufungua milango ya kuzimwa kwa agenda ya katiba mpya iliyopelekea Mbowe awe ndani Leo. Lakini majadiliano yenye masharti upelekea uliyekubaliana naye kukudhibiti kwa masharti yale Yale .
Nikubaliene n wanaounga MKONO kwamba waliomweka Mbowe ndani ndio wenye makosa na ndio wenye maamuzi afungwe au afutiwe Kesi. Endapo tukiruhusu majadiliano tukubaliane na masharti ya majadiliano, lakini kwa kuwa tunaamini kama Taifa kuwa Mbowe Hana kosa basi tubaiki na msimamo wetu kwamba tuache mahakama iamue kumfunga lakini tubaki na moyo thabiti wakuendeleza mapambano dhidi ya demokrasia.
Hatuwezi tukafanya mazungumzo kuhusu mwenyekiti tukawa na nguvu yakuwanyamazisha akina mdee, lazima tutalazimika kufanya mazungumzo nao. Tuache wakosaji wafanye wazungumzo, MBOWE SIYO MKOSAJI.
Umeandika uongo usio katika mizania.Zitto analijuwa kosa la Mbowe kwa kuwa kuna taarifa alishirikishwa. Baada ya Magufuli kutangazwa mshindi na NEC kwenye uchaguzi ambao hata mimi naamini uligubikwa na wizi wa kura kupitia TISS, Mbowe, Lissu na Lema waliitisha maandamano yasiyokoma.
Lakini vile vile walipanga malipuzi Ili nchi isitawalike. Ilikuwa barabara zinazoingia mjini wana CDM wachome matairi na magogo ili wananchi washindwe kwenda kwenye shughuli zao.
Bahati mbaya kwao TISS waliwatangulia waka i abort. Then Magufuli ndiyo akaanza kuwatafuta akina Lissu, Lema na Mbowe. Kama unakumbuka vizuri Lissu ilibidi ajisalimishe Germany embassy. Lema akakamatwa Kajiado Kenya baadaye akaachiwa na Mbowe aka sneak na kuanza kuishi kati ya Nairobi na Dubai. Kimsingi alikwishaomba hifadhi ubalozi wa Canada ila alikuwa bado hajapata baada ya kukosa Denmark.
Tumshukuru Mungu yule Mwendazake hakuwakamata maana ambacho angewafanya ni kibaya kuliko cha Lissu mwanzoni. Kwa hiyo tuiachie Mahakama ndiyo iseme kuwa Mbowe hana HATIA baada ya kusikiliza ushahidi wote na kisha Mbowe kujitetea.
Amesema yeyeMbowe kwenda kwenye meza ya mazungumzo huo Ni upuuzi tu.
Lkn kusema pia huyo Kabendera alikaa vikao 50 na wakina Magu huo Ni uongo uliopitiliza na anajipa ukubwa asionao.
Atasamehewa kwa makosa gani?Wakati mwingine unakubali kujishusha kidogo ili mengine yaende. Jela si kuzuri. Sisi tunashabikia tu kwa sababu tuko nje. Ujasiri aliounesha unatosha. Aombe wakae mezani wasameheane arudishiwe uhuru wake arudi kuungana na familia yake
Umemkuza sana Erick Kabendera bila sababu yoyote ya msingi , labda kwa taarifa yako ni kwamba CHADEMA INAFAHAMISHWA KILA UJINGA UNAOFANYWA NA YEYOTE KUHUSU KESI YA MBOWE .Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu hiyo kumkamata na kumweka ndani.
Erick Kabendera, Januari Makamba, Kinana, Nape na wengine kumbukumbu zinaonyesha wao ndio walioshiriki kuhakikisha kwamba Lowasa anashindwa uchaguzi 2015. Hawa watu ndio walioshirikiana na baadhi ya vijana wa IT kuiba uchaguzi uliomweka madarakani JpM. Nape wiki Ili aliandika kwenye ukurasa wake wa tweeter akijinadi kwamba bila yeye Lowasa angekuwa Ikulu. Alitaka kumwonyesha Polepole kwamba yeye Nape kwenye CCM ni Nani.
Baada ya awamu ya Tano kuingia madarakani JPM Nadhani makubaliano au mategemeo ya akina Kinana yalibadilishwa na ndipo mfumo ulipoanza kupambana nao bila kujali ushiriki wao kwenye Vita ya kuwaungiza madarakani. Walisambaratishwa mmoja baada ya mwingine Hadi ilipozaliwa mfumo mpya. Na hata baada ya kusambaratishwa na kwakuzongatia Bado watu Hawa walikuwa na wafuasi nyuma Yao JPM Nadhani ndipo alipoamua kutowatumia Tena kwenye uchaguzi kama viungo wachezeshaji, in short waliwekwa bench na rigging ya election ikafanyika kwa style tuliojionea.
Kwa kuwa Erick alitambua dhambi iliyokuwa nafsini mwake kuhusu tawala za afrika ilimlazimu kuingia kwenye mazungumzo may be ikiwemo kuomba msamaha kwa sababu anajua wapi alikengeuka. Nimeona kwenye post yake anakiri walifanya vikao zaidi ya 50 na JPM Hadi yeye anatolewa gerezani. Tujiulize Erick ni nani hadi afanyiwe vikao 50 ? Alikosa Nini? Vikao vilihusu Nini? Hakuna aliyejua Erick aliwahi kufanyiwa vikao vya usuluhishi akiwa gerezani hadi Leo alipoandika mwenyewe tweeter. Na kwa muktadha huo lazima tutambue Erick SI mtu mdogo ni mtu mwenye nafasi au alikuwa na nafasi flani kwenye mfumo.
Kwanini nawataadharisha CHADEMA kuhusu Erick, nikwasbabu Mbowe Hana kosa alilotenda lakini Erick alikuwa na makosa yake yakupingana au kushindwa kukubaliana na wenzie alioshirikiana nao kwenye uchaguzi 2015.
Lakini pia nawataadharisha CHADEMA dhidi ya Erick kwa sababu kwa sasa Erick na watawala akina Januari Makamba ni kitu kimoja. Kuwa mwanaharakati sometimes Kuna saidia lakini lazima tuwaangalie vyema hawa wanaotumwa kujadili hoja ya maridhiano wanatumwa na Nani? Kukubaliana nao sometimes nikukubali kununua haki Yako.
Erick na Zitto wamewahi kupingana na utawala uliopo kwa chochote? Means kwa Sasa hawa pia ni watawala ila hawana nafasi zinazoonekana Kwa macho. Madhara ya Mbowe kwenda kwenye mazungumzo kwa kuwasikiliza akina Erick nikufungua milango ya kuzimwa kwa agenda ya katiba mpya iliyopelekea Mbowe awe ndani Leo. Lakini majadiliano yenye masharti upelekea uliyekubaliana naye kukudhibiti kwa masharti yale Yale .
Nikubaliene n wanaounga MKONO kwamba waliomweka Mbowe ndani ndio wenye makosa na ndio wenye maamuzi afungwe au afutiwe Kesi. Endapo tukiruhusu majadiliano tukubaliane na masharti ya majadiliano, lakini kwa kuwa tunaamini kama Taifa kuwa Mbowe Hana kosa basi tubaiki na msimamo wetu kwamba tuache mahakama iamue kumfunga lakini tubaki na moyo thabiti wakuendeleza mapambano dhidi ya demokrasia.
Hatuwezi tukafanya mazungumzo kuhusu mwenyekiti tukawa na nguvu yakuwanyamazisha akina mdee, lazima tutalazimika kufanya mazungumzo nao. Tuache wakosaji wafanye wazungumzo, MBOWE SIYO MKOSAJI.
Mbowe Ni gaidi au si gaidi Ni mahakama ndo itaamua, nipinga kwa nguvu zote kabisa mbowe kuachiwa Bila mfumo wa sheria kufuatwa, yaan ninyi watu sijui mnajisahaulisha au mmepewa hela, sijui, kesi ya mbowe haina mahusiano yoyote na katiba mpya, na mnajua kabisa, tatzo kubwa watu wanajizima data makusudi,
Kesi ya mbowe Ni Jimbo la hai, huko walikuwa sabaya na mbowe, kila mmoja akiwa na nanafsi yake, unajua kabisa, na wote wanamashitaka yanayotokana na siasa, so kufungwa kwa sabaya hakuhalalishi hakuondoi makosa ya mbowe, kila mtu apambane na Hali yake,
Ikifika hatua tukawa tunajizima data kwa sabab ya kuwafever watu tunaowapenda hii nchi itakuwa mbaya mno kuishi, maana itakuwa na imbalance of law..
Hakuna roundtable au nn wacha mahakama itende haki, tusiinaji mahakama kwa makusudi, na hapa mama ndo kipimo chake Kama kiti kinamuenea walao kidg au lah, siku akiachiwa mbowe Bila mahakama tutaanzisha kampeni kuu ya #@freesabaya
Wyatt Mathewson jiulize kwa nini wamkamate yeye na siyo wewe au Mimi? Pili jiulize nini kilimkimbiza Dubai baada ya matokeo kutangazwa.Mbowe alipue nchi?
Hivi mzima wewe?
Mtu hana hata mshale,alipue nchi?
Punguza ukuda wewe!
Kwani wamefunga ushahidi?Umeandika uongo usio katika mizania.
Kama hayo unayoyasema mbona ushahidi wa mahakamani hauendani.
Kama TISS walikua wanajua ukweli wa Ugaidi huo sidhani kama leo kungekua na ushahidi duni hivyo huko mahakamani.
Maandamano yasiyokoma sio Ugaidi.
Na maandamano baada ya kuibiwa ushindi yapo kila nchi inapotokea hali hiyo.
Kwa kifupi hii kesi haina uhalisia.
Ni siasa za chuki tu.
Sidhani kama amemkuza, ameshauri.Umemkuza sana Erick Kabendera bila sababu yoyote ya msingi , labda kwa taarifa yako ni kwamba CHADEMA INAFAHAMISHWA KILA UJINGA UNAOFANYWA NA YEYOTE KUHUSU KESI YA MBOWE .
Una akili Sana kijanaNaomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu hiyo kumkamata na kumweka ndani.
Erick Kabendera, Januari Makamba, Kinana, Nape na wengine kumbukumbu zinaonyesha wao ndio walioshiriki kuhakikisha kwamba Lowasa anashindwa uchaguzi 2015. Hawa watu ndio walioshirikiana na baadhi ya vijana wa IT kuiba uchaguzi uliomweka madarakani JpM. Nape wiki Ili aliandika kwenye ukurasa wake wa tweeter akijinadi kwamba bila yeye Lowasa angekuwa Ikulu. Alitaka kumwonyesha Polepole kwamba yeye Nape kwenye CCM ni Nani.
Baada ya awamu ya Tano kuingia madarakani JPM Nadhani makubaliano au mategemeo ya akina Kinana yalibadilishwa na ndipo mfumo ulipoanza kupambana nao bila kujali ushiriki wao kwenye Vita ya kuwaungiza madarakani. Walisambaratishwa mmoja baada ya mwingine Hadi ilipozaliwa mfumo mpya. Na hata baada ya kusambaratishwa na kwakuzongatia Bado watu Hawa walikuwa na wafuasi nyuma Yao JPM Nadhani ndipo alipoamua kutowatumia Tena kwenye uchaguzi kama viungo wachezeshaji, in short waliwekwa bench na rigging ya election ikafanyika kwa style tuliojionea.
Kwa kuwa Erick alitambua dhambi iliyokuwa nafsini mwake kuhusu tawala za afrika ilimlazimu kuingia kwenye mazungumzo may be ikiwemo kuomba msamaha kwa sababu anajua wapi alikengeuka. Nimeona kwenye post yake anakiri walifanya vikao zaidi ya 50 na JPM Hadi yeye anatolewa gerezani. Tujiulize Erick ni nani hadi afanyiwe vikao 50 ? Alikosa Nini? Vikao vilihusu Nini? Hakuna aliyejua Erick aliwahi kufanyiwa vikao vya usuluhishi akiwa gerezani hadi Leo alipoandika mwenyewe tweeter. Na kwa muktadha huo lazima tutambue Erick SI mtu mdogo ni mtu mwenye nafasi au alikuwa na nafasi flani kwenye mfumo.
Kwanini nawataadharisha CHADEMA kuhusu Erick, nikwasbabu Mbowe Hana kosa alilotenda lakini Erick alikuwa na makosa yake yakupingana au kushindwa kukubaliana na wenzie alioshirikiana nao kwenye uchaguzi 2015.
Lakini pia nawataadharisha CHADEMA dhidi ya Erick kwa sababu kwa sasa Erick na watawala akina Januari Makamba ni kitu kimoja. Kuwa mwanaharakati sometimes Kuna saidia lakini lazima tuwaangalie vyema hawa wanaotumwa kujadili hoja ya maridhiano wanatumwa na Nani? Kukubaliana nao sometimes nikukubali kununua haki Yako.
Erick na Zitto wamewahi kupingana na utawala uliopo kwa chochote? Means kwa Sasa hawa pia ni watawala ila hawana nafasi zinazoonekana Kwa macho. Madhara ya Mbowe kwenda kwenye mazungumzo kwa kuwasikiliza akina Erick nikufungua milango ya kuzimwa kwa agenda ya katiba mpya iliyopelekea Mbowe awe ndani Leo. Lakini majadiliano yenye masharti upelekea uliyekubaliana naye kukudhibiti kwa masharti yale Yale .
Nikubaliene n wanaounga MKONO kwamba waliomweka Mbowe ndani ndio wenye makosa na ndio wenye maamuzi afungwe au afutiwe Kesi. Endapo tukiruhusu majadiliano tukubaliane na masharti ya majadiliano, lakini kwa kuwa tunaamini kama Taifa kuwa Mbowe Hana kosa basi tubaiki na msimamo wetu kwamba tuache mahakama iamue kumfunga lakini tubaki na moyo thabiti wakuendeleza mapambano dhidi ya demokrasia.
Hatuwezi tukafanya mazungumzo kuhusu mwenyekiti tukawa na nguvu yakuwanyamazisha akina mdee, lazima tutalazimika kufanya mazungumzo nao. Tuache wakosaji wafanye wazungumzo, MBOWE SIYO MKOSAJI.
Uchambuzi ndo unatakiwa uwe namna hii siyo unakuja na mipasho Mingi, Hongera naamin wahusika watahusika Kama inavyopaswa kuhusika Kama wahusika🍎Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu hiyo kumkamata na kumweka ndani.
Erick Kabendera, Januari Makamba, Kinana, Nape na wengine kumbukumbu zinaonyesha wao ndio walioshiriki kuhakikisha kwamba Lowasa anashindwa uchaguzi 2015. Hawa watu ndio walioshirikiana na baadhi ya vijana wa IT kuiba uchaguzi uliomweka madarakani JpM. Nape wiki Ili aliandika kwenye ukurasa wake wa tweeter akijinadi kwamba bila yeye Lowasa angekuwa Ikulu. Alitaka kumwonyesha Polepole kwamba yeye Nape kwenye CCM ni Nani.
Baada ya awamu ya Tano kuingia madarakani JPM Nadhani makubaliano au mategemeo ya akina Kinana yalibadilishwa na ndipo mfumo ulipoanza kupambana nao bila kujali ushiriki wao kwenye Vita ya kuwaungiza madarakani. Walisambaratishwa mmoja baada ya mwingine Hadi ilipozaliwa mfumo mpya. Na hata baada ya kusambaratishwa na kwakuzongatia Bado watu Hawa walikuwa na wafuasi nyuma Yao JPM Nadhani ndipo alipoamua kutowatumia Tena kwenye uchaguzi kama viungo wachezeshaji, in short waliwekwa bench na rigging ya election ikafanyika kwa style tuliojionea.
Kwa kuwa Erick alitambua dhambi iliyokuwa nafsini mwake kuhusu tawala za afrika ilimlazimu kuingia kwenye mazungumzo may be ikiwemo kuomba msamaha kwa sababu anajua wapi alikengeuka. Nimeona kwenye post yake anakiri walifanya vikao zaidi ya 50 na JPM Hadi yeye anatolewa gerezani. Tujiulize Erick ni nani hadi afanyiwe vikao 50 ? Alikosa Nini? Vikao vilihusu Nini? Hakuna aliyejua Erick aliwahi kufanyiwa vikao vya usuluhishi akiwa gerezani hadi Leo alipoandika mwenyewe tweeter. Na kwa muktadha huo lazima tutambue Erick SI mtu mdogo ni mtu mwenye nafasi au alikuwa na nafasi flani kwenye mfumo.
Kwanini nawataadharisha CHADEMA kuhusu Erick, nikwasbabu Mbowe Hana kosa alilotenda lakini Erick alikuwa na makosa yake yakupingana au kushindwa kukubaliana na wenzie alioshirikiana nao kwenye uchaguzi 2015.
Lakini pia nawataadharisha CHADEMA dhidi ya Erick kwa sababu kwa sasa Erick na watawala akina Januari Makamba ni kitu kimoja. Kuwa mwanaharakati sometimes Kuna saidia lakini lazima tuwaangalie vyema hawa wanaotumwa kujadili hoja ya maridhiano wanatumwa na Nani? Kukubaliana nao sometimes nikukubali kununua haki Yako.
Erick na Zitto wamewahi kupingana na utawala uliopo kwa chochote? Means kwa Sasa hawa pia ni watawala ila hawana nafasi zinazoonekana Kwa macho. Madhara ya Mbowe kwenda kwenye mazungumzo kwa kuwasikiliza akina Erick nikufungua milango ya kuzimwa kwa agenda ya katiba mpya iliyopelekea Mbowe awe ndani Leo. Lakini majadiliano yenye masharti upelekea uliyekubaliana naye kukudhibiti kwa masharti yale Yale .
Nikubaliene n wanaounga MKONO kwamba waliomweka Mbowe ndani ndio wenye makosa na ndio wenye maamuzi afungwe au afutiwe Kesi. Endapo tukiruhusu majadiliano tukubaliane na masharti ya majadiliano, lakini kwa kuwa tunaamini kama Taifa kuwa Mbowe Hana kosa basi tubaiki na msimamo wetu kwamba tuache mahakama iamue kumfunga lakini tubaki na moyo thabiti wakuendeleza mapambano dhidi ya demokrasia.
Hatuwezi tukafanya mazungumzo kuhusu mwenyekiti tukawa na nguvu yakuwanyamazisha akina mdee, lazima tutalazimika kufanya mazungumzo nao. Tuache wakosaji wafanye wazungumzo, MBOWE SIYO MKOSAJI.
Wewe ndiye rubbish wa chooni kabisaRubbish
[emoji23][emoji1787]Wewe ndiye rubbish wa chooni kabisa
TrueNaomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu hiyo kumkamata na kumweka ndani.
Erick Kabendera, Januari Makamba, Kinana, Nape na wengine kumbukumbu zinaonyesha wao ndio walioshiriki kuhakikisha kwamba Lowasa anashindwa uchaguzi 2015. Hawa watu ndio walioshirikiana na baadhi ya vijana wa IT kuiba uchaguzi uliomweka madarakani JpM. Nape wiki Ili aliandika kwenye ukurasa wake wa tweeter akijinadi kwamba bila yeye Lowasa angekuwa Ikulu. Alitaka kumwonyesha Polepole kwamba yeye Nape kwenye CCM ni Nani.
Baada ya awamu ya Tano kuingia madarakani JPM Nadhani makubaliano au mategemeo ya akina Kinana yalibadilishwa na ndipo mfumo ulipoanza kupambana nao bila kujali ushiriki wao kwenye Vita ya kuwaungiza madarakani. Walisambaratishwa mmoja baada ya mwingine Hadi ilipozaliwa mfumo mpya. Na hata baada ya kusambaratishwa na kwakuzongatia Bado watu Hawa walikuwa na wafuasi nyuma Yao JPM Nadhani ndipo alipoamua kutowatumia Tena kwenye uchaguzi kama viungo wachezeshaji, in short waliwekwa bench na rigging ya election ikafanyika kwa style tuliojionea.
Kwa kuwa Erick alitambua dhambi iliyokuwa nafsini mwake kuhusu tawala za afrika ilimlazimu kuingia kwenye mazungumzo may be ikiwemo kuomba msamaha kwa sababu anajua wapi alikengeuka. Nimeona kwenye post yake anakiri walifanya vikao zaidi ya 50 na JPM Hadi yeye anatolewa gerezani. Tujiulize Erick ni nani hadi afanyiwe vikao 50 ? Alikosa Nini? Vikao vilihusu Nini? Hakuna aliyejua Erick aliwahi kufanyiwa vikao vya usuluhishi akiwa gerezani hadi Leo alipoandika mwenyewe tweeter. Na kwa muktadha huo lazima tutambue Erick SI mtu mdogo ni mtu mwenye nafasi au alikuwa na nafasi flani kwenye mfumo.
Kwanini nawataadharisha CHADEMA kuhusu Erick, nikwasbabu Mbowe Hana kosa alilotenda lakini Erick alikuwa na makosa yake yakupingana au kushindwa kukubaliana na wenzie alioshirikiana nao kwenye uchaguzi 2015.
Lakini pia nawataadharisha CHADEMA dhidi ya Erick kwa sababu kwa sasa Erick na watawala akina Januari Makamba ni kitu kimoja. Kuwa mwanaharakati sometimes Kuna saidia lakini lazima tuwaangalie vyema hawa wanaotumwa kujadili hoja ya maridhiano wanatumwa na Nani? Kukubaliana nao sometimes nikukubali kununua haki Yako.
Erick na Zitto wamewahi kupingana na utawala uliopo kwa chochote? Means kwa Sasa hawa pia ni watawala ila hawana nafasi zinazoonekana Kwa macho. Madhara ya Mbowe kwenda kwenye mazungumzo kwa kuwasikiliza akina Erick nikufungua milango ya kuzimwa kwa agenda ya katiba mpya iliyopelekea Mbowe awe ndani Leo. Lakini majadiliano yenye masharti upelekea uliyekubaliana naye kukudhibiti kwa masharti yale Yale .
Nikubaliene n wanaounga MKONO kwamba waliomweka Mbowe ndani ndio wenye makosa na ndio wenye maamuzi afungwe au afutiwe Kesi. Endapo tukiruhusu majadiliano tukubaliane na masharti ya majadiliano, lakini kwa kuwa tunaamini kama Taifa kuwa Mbowe Hana kosa basi tubaiki na msimamo wetu kwamba tuache mahakama iamue kumfunga lakini tubaki na moyo thabiti wakuendeleza mapambano dhidi ya demokrasia.
Hatuwezi tukafanya mazungumzo kuhusu mwenyekiti tukawa na nguvu yakuwanyamazisha akina mdee, lazima tutalazimika kufanya mazungumzo nao. Tuache wakosaji wafanye wazungumzo, MBOWE SIYO MKOSAJI.
Unampa umaarufu asiokuwa nao. Eti Michael Jordan of this shit. Labda ni Hasheem ThabeetWamemkamata sababu ya impunity
Na kisa kikubwa ni KUDAI KATIBA MPYA....
Hizi unazoleta hapa ni blah blah za kiduwanzi tu
Issue ni Katiba Mpya and everybody knows..
Mbowe eti ni gaidi mtu hana record yeyote na wala hamiliki hata mshale!
Ugaidi ni solutions for thieves and low brained people,Mbowe is high IQ-ed person...
Kwa siasa Mbowe is Michael Jordan of this shit,hakuna cha mama wa la nani anamuweza,all are lightweight bunch!
Hana haja ya kua Gaidi for these group of silly air-heads!