Naomba nipingane na mwandishi Erick Kabendera kuhusu hoja ya kumtaka Mbowe aende KWENYE meza ya mazungumzo.

So touching, hadi nimekupenda Beatrice😘😘😘

Umeolewa?
 
Nakazia ukari
 
Wakati mwingine unakubali kujishusha kidogo ili mengine yaende. Jela si kuzuri. Sisi tunashabikia tu kwa sababu tuko nje. Ujasiri aliounesha unatosha. Aombe wakae mezani wasameheane arudishiwe uhuru wake arudi kuungana na familia yake
Mmh Yaani mnashangaza sana nyie mlioshabikia afungwe leo mnaoata huruma namna hiii?
 
Kuna kundi kubwa la wajinga wa ccm wanataka eti ili atoke aombe msamaha napata wasi wasi hii huruma wameitoa wapi?
 
I support. Wajinga wamekwama tena.
 
Ukiwa kiroboto akili zinakuwa ndogo kiasi hiki?? hata vyombo vya ulinzi na usalama vinajua Mbowe kaonewa. Wewe hizo information za Lumumba za kupika umezipata wapi??
Mahakama imeonesha jinsi serikali imeshindwa kutetea tuhuma zake. Akina Kingai wamejipigia pesa ya malipo bure.
 
Hivi nchi hii kuna mahakama?? genge la wahuni tu.
 
Mbowe kwenda kwenye meza ya mazungumzo huo Ni upuuzi tu.

Lkn kusema pia huyo Kabendera alikaa vikao 50 na wakina Magu huo Ni uongo uliopitiliza na anajipa ukubwa asionao.

Kama alikuwa na influence ya kuwa na vikao 50 na utawala akiwa lupango, alishindwa nini kuwashawishi wamruhusu kwenda kumzika mama yake?? Huyu ni muongo anatafuta upenyo tu !
 
Mbowe anashitakiwa kwa kesi ya ugaidi sasa izo sarakasi ambazo chadema mnaleta kla sku za kuforce kuwa mbowe yuko ndan kuzima harakat za katiba mpya ni uongo na kutafta huruma/ sapoti ya watu.

Jera jmn sio nzuri tena ni mkosi kwa watu wengne, inayoteseka kwa sasa ni familia ya mbowe ila sisi wengne akuna ajue machungu ya familia na machungu anayopitia Mbowe kla sku
 
SSH hata afanye vip, kwa alivyoumbwa, haez kufikia hata robo ya ukatili na ubabe wa dikteta. Aachane na ukatili dhidi ya wanasiasa wenzake, si faani yake.
 
Mungu akubariki

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Pythagoras ni mende kichwa yako haina uwezo wa kukaa na ubongo. Soma tu na usepe
 
Unataka Chadema wafanyaje ili mtu mwenye kesi ya Ugaidi atoke?
 
NAUNGA MKONO HOJA. MBOWE KAMA MANDELA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…