Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

Kama umejaza kila kipengele vizuri haiwezi ikabakia hiyo 55% unayosema. Au labda system iwe na matatizo, tofauti na hapo utakuwa umekosea mahali.
Tafuta mtu unayemwamini akusaidie kujaza.
 
naombeni msaada hii portal ili niweze kuapply natakuwa kuwa nimefikia asilimia walau 70% sasaa mi nimejaza kila kipengere baso niko asilimia 55% naweza kuwa nimekosea nn? Nisaidienii wadau.
Wewe kama mimi tu nishajaza kila kitu imekwama hapo hapo 55% namba zao na email hawaijibu

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Picha umeweka attachment je vipi kula kwenye basic skills umejaza na sehemu ya kutick taarifa zko zipo sahihi
 
Back
Top Bottom