Kama umejaza kila kipengele vizuri haiwezi ikabakia hiyo 55% unayosema. Au labda system iwe na matatizo, tofauti na hapo utakuwa umekosea mahali.
Tafuta mtu unayemwamini akusaidie kujaza.
naombeni msaada hii portal ili niweze kuapply natakuwa kuwa nimefikia asilimia walau 70% sasaa mi nimejaza kila kipengere baso niko asilimia 55% naweza kuwa nimekosea nn? Nisaidienii wadau.