Naomba niseme na baadhi ya wanamume

Naomba niseme na baadhi ya wanamume

Mambo mengine ni kujidhalilisha inaonesha jinsi gani kuna watu wana low IQ hapa
Unajidhalilisha ww unayedandiaa mambo unayona yanakukeraa kama inakuhusu jifunze kushake well tumechokaa harufu in case unaonaa hupendi hii thread my dear jukwaa la siasa lipo dont waste ur time here
 
Naona nimepigilia mlemle
 
Hatuzungumzii mkiwa tayari chumbani tunazungumziaa mambo ya kila siku coz kuna siku unabanwa hata kuogaa mnaona mnachelewaa muda wa kuogaa baada ya shughuli
Kuosha kweli ni muhimu lakini nikuulize, kwani na nyie mara zote mkienda kukojoa hua mnapata maji ya kuosha papuchi? Na hata mnapotumia zile karatasi laini hua hakuna uwezekano wa kusambaza mkojo eneo lote la papuchi na kuacha chumvichumvi? Mnapotaka cha fasta fasta inakua wote hamjajiandaa hygienically kwa hivyo ukubali tu mambo mengine. Kwa maoni yangu usafi wa pubic ni zaidi ya kuosha vikojoleo
 
Baadhi huwa wanafanyaaa na unaambiwa kama upo sehemu ambayo haina maji utumiee jiwe kujisafishaa my dear ilaa hawa
Dini inataka hivyo je ni kweli huwa wanafanya hivyo lakini
Wa siku hizi wa mwendokasi hawana muda
 
Kuosha kweli ni muhimu lakini nikuulize, kwani na nyie mara zote mkienda kukojoa hua mnapata maji ya kuosha papuchi? Na hata mnapotumia zile karatasi laini hua hakuna uwezekano wa kusambaza mkojo eneo lote la papuchi na kuacha chumvichumvi? Mnapotaka cha fasta fasta inakua wote hamjajiandaa hygienically kwa hivyo ukubali tu mambo mengine. Kwa maoni yangu usafi wa pubic ni zaidi ya kuosha vikojoleo

Ni wachache saana wanao enda kujisaidiaa sehemu isiyokuwa na maji na incase majo hayapo ndo tissue
 
Mambembe sio wachache bana, kwanza kuna sehemu nyingi sana za kishua kwenye WCs hata za ladies hua kuna maji ya flasher tu halafu wanaweka makaratasi
 
Dah hilo nikweli kabisa mimi niliambiwa na mtu kuwa uweunapiga maji maana kila nikila koni nahisi chuvi chuvi toka hapo nikikojoa napiga maji mambo burudani kabida naliwa koni mpka najuta mimi kuwa mwanauwe
 
Umeonaaa eeehee kuna raha yake ikiwa safi....
 
Mie ndo maana staki hata kushake mikono na hawa kaka zetu maana wanatupaka uchafu tuu.
 
Huo sasa unaitwa unyanyepa, kwa mtindo huo kweli jamaa hua unampa mambo kama shaking hands tu ni issue? Halafu nani kakwambia wanawake wote unaopeana nao mkono ni wasafi?
 
Back
Top Bottom