Sasa una tofauti gani na hao akina Bashite wanaotaka kuingiza siasa kwenye michezo?! Hivi ni nani kati ya huyo Wema au Bashite unayeona ni mpenzi wa michezo pale?!Maombi yangu maalum ni kwa Lethoso kupata ushindi mnono wa goli 3 bila kesho dhidi ya Cape Verde.
Kama Lethoso atapata pointi 3 zote kesho na timu ya wema sepetu na bashite ikapigwa 2 bashite na Uganda ntafurahi sana.
Ingawaje wapo wapumbavu kadhaa kutoka serikalini wanaotaka kuingiza siasa kwenye mechi hii muhimu, lakini utakuwa mtu wa ajabu na wewe ukitaka kushindana na hao wapumbavu coz' most of them don't give a fvck about football but you probably do! Am angry too but should I argue with fools? NO, I have to make people spot the difference!