Naomba nisiwe mnafiki, naomba Lethoso iifunge Cape Verde 3 bila

Maombi yangu maalum ni kwa Lethoso kupata ushindi mnono wa goli 3 bila kesho dhidi ya Cape Verde.

Kama Lethoso atapata pointi 3 zote kesho na timu ya wema sepetu na bashite ikapigwa 2 bashite na Uganda ntafurahi sana.
Sasa una tofauti gani na hao akina Bashite wanaotaka kuingiza siasa kwenye michezo?! Hivi ni nani kati ya huyo Wema au Bashite unayeona ni mpenzi wa michezo pale?!

Ingawaje wapo wapumbavu kadhaa kutoka serikalini wanaotaka kuingiza siasa kwenye mechi hii muhimu, lakini utakuwa mtu wa ajabu na wewe ukitaka kushindana na hao wapumbavu coz' most of them don't give a fvck about football but you probably do! Am angry too but should I argue with fools? NO, I have to make people spot the difference!
 
Yani ata mimi ndio maombi yangu
Maombi yangu maalum ni kwa Lethoso kupata ushindi mnono wa goli 3 bila kesho dhidi ya Cape Verde.

Kama Lethoso atapata pointi 3 zote kesho na timu ya wema sepetu na bashite ikapigwa 2 bashite na Uganda ntafurahi sana.

Sina sababu ya uwatakia ushindi timu ya bashite maana itakua ni kupoteza muda maana huko mbele watapigwa 7 itakua aibu, bora watoke sasa tufanye mambo mengine kuliko kuna kujichotea zigo la aibu huko mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko pamoja na Uganda na Cape Verde✌✌
 
Natamani tufungwe 7-0 na uganda

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
Itakua jambo la busara sana tukipigwa na uganda tukatoka.

Ni muhimu kuwaombea Lesotho na Uganda. Hii timu ya bashitr ipigwe goli nyingi.
 
Subirini Taifa Stars ishinde msikilizeni kichechefu kitachofuata:

1. Ushindi wa Taifa Stars ni juhudi za awamu ya tano chini ya Magu.
2. Ushindi ni kutekeleza ilani ya CCM chini ya uongozi wa Magu
3. Tunaenda AFCON awamu ya tano chini ya Magu

Siku hizi kila kitu ni kwa sababu ya Magu.

Leo tumesikia, Tanzania ni moja ya nchi yenyewe maambukizi makubwa ya TB Duniani. Hili kamwe halitasemwa au kuhusishwa na awamu ya tano.

Tuache upuuzi.
 
Ndio maana wengine tunawaombea Lesotho ushindi.
 
Itakua jambo la busara sana tukipigwa na uganda tukatoka.

Ni muhimu kuwaombea Lesotho na Uganda. Hii timu ya bashitr ipigwe goli nyingi.
Bashite atakera watu wengi sana kama taifa stars ikishinda so bora tufungwe kiroho safi kila mtu awe na amani

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Mimi nakuunga mkono mtoa mada. Inafiki sipendi. Hizi shamra shamra na hamasa mbona hazikuwepo mechi ya kwanza kabisa tulipocheza hapa Taifa? Timu yetu ilipata sare ya free kick ya Samata. Hakukuwa na mpango wowote wala nia kwamba tunataka kufuzu.

Yaani wanakumbuka shuka wakati kumekucha. Acha tufungwe tu ili iwe fundisho. Unafiki sipendi. Tungemfunga Lesotho hapa saa hizi tungekuwa tunaongea habari zingine.

Wacha tupigwe tu.

Sent using my Nokia Torch
 
Back
Top Bottom