didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Ni ulikua ushauri tu.Pole sana mkuu,uzur Sinaga maisha ya kuigiza japo Nina maisha yangu kiasi,ila asili yangu siiachi
Kabisa mkuu๐๐ฝHapa JF watoto wa kishua wachache sana sema maneno tu ndio mengi, watu hawayataki maisha yao.
Ila kwa background mambo ni mbaya mazee
Ushauri wa nn kuigiza maisha?Ni ulikua ushauri tu.
Sio lazima unielewe. Kua na jumapili njema mwanaasiliUshauri wa nn kuigiza maisha?
Na siwez kukuelewa kwa ushauri wa kuigiza maisha Hasa kwa mtoto wa kiume utajikuta umeleft group kwa tamaa๐๐๐๐,haya nawe pia JP njemaSio lazima unielewe. Kua na jumapili njema mwanaasili
Yaaan tunalala tuu๐ ๐ halafuu wavivu kuongeaaMabonge wakishakula wakashiba hawasumbui hata
Asa kumbe nini ๐Yaaan tunalala tuu๐ ๐ halafuu wavivu kuongeaa
Hatuna hata makelele๐ ๐ ila Sasa nyumba isikaukiwee misosi fridge liwwe limejaaa๐Asa kumbe nini ๐
Ewaaaa ๐Ha
Hatuna hata makelele๐ ๐ ila Sasa nyumba isikaukiwee misosi fridge liwwe limejaaa๐
Imenigusa๐ ๐
Kwa taarifa yako it is very hard to penetrate hapo sijui utumie mtindo ganiWadada mabonge wanajua kupenda sana wametulia ukimpenda anaridhika hawana tamaa hata kidogo.
๐๐ unataka kusema nn?Mabonge wakishakula wakashiba hawasumbui hata
Acha uvivu๐๐Kumkaza bonge kama upo vitani
Nyinyi vimbau mbau mwiko wa pilau mtuache kidogo ๐๐๐Tembo hafugwi, vina muda basi.!
Soon mtarudi kwetu wembamba km kuni za nyongeza ๐น๐น
๐คฃ๐คฃImenigusa๐ ๐