didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Ni ulikua ushauri tu.Pole sana mkuu,uzur Sinaga maisha ya kuigiza japo Nina maisha yangu kiasi,ila asili yangu siiachi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ulikua ushauri tu.Pole sana mkuu,uzur Sinaga maisha ya kuigiza japo Nina maisha yangu kiasi,ila asili yangu siiachi
Kabisa mkuu👏🏽Hapa JF watoto wa kishua wachache sana sema maneno tu ndio mengi, watu hawayataki maisha yao.
Ila kwa background mambo ni mbaya mazee
Ushauri wa nn kuigiza maisha?Ni ulikua ushauri tu.
Sio lazima unielewe. Kua na jumapili njema mwanaasiliUshauri wa nn kuigiza maisha?
Na siwez kukuelewa kwa ushauri wa kuigiza maisha Hasa kwa mtoto wa kiume utajikuta umeleft group kwa tamaa😂😂😂😂,haya nawe pia JP njemaSio lazima unielewe. Kua na jumapili njema mwanaasili
Yaaan tunalala tuu😅😅halafuu wavivu kuongeaaMabonge wakishakula wakashiba hawasumbui hata
Asa kumbe nini 😂Yaaan tunalala tuu😅😅halafuu wavivu kuongeaa
Hatuna hata makelele😅😅ila Sasa nyumba isikaukiwee misosi fridge liwwe limejaaa😅Asa kumbe nini 😂
Ewaaaa 😂Ha
Hatuna hata makelele😅😅ila Sasa nyumba isikaukiwee misosi fridge liwwe limejaaa😅
Imenigusa😅😅
Kwa taarifa yako it is very hard to penetrate hapo sijui utumie mtindo ganiWadada mabonge wanajua kupenda sana wametulia ukimpenda anaridhika hawana tamaa hata kidogo.
😂😂 unataka kusema nn?Mabonge wakishakula wakashiba hawasumbui hata
Acha uvivu😃😃Kumkaza bonge kama upo vitani
Nyinyi vimbau mbau mwiko wa pilau mtuache kidogo 😂😂😂Tembo hafugwi, vina muda basi.!
Soon mtarudi kwetu wembamba km kuni za nyongeza 😹😹
🤣🤣Imenigusa😅😅