Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
Nimeona haszu akipondwa na wanaume wa jf kwa kujiita "handsome" wengine wakimtuhumu kuwa ni shoga etc.
Ingawa ni kweli baadhi ya wanaume handsome ni mashoga, lakini haimaanishi kwamba mtu akijiita handsome, basi yeye ni shoga. Hata biblia inatambua handsome men k.v Yusuph na Absalom mwana wa Daudi.
Wengine walisema uzuri wa mwanaume uko kwenye wallet, that's not entirely true, muonekano wa mwanaume (physical attributes) una-matter kwa wadada .
Ukweli mchungu ni kuwa asilimia 80 ya sisi wanaume hatuna muonekano mzuri wa kuvutia wadada (most of us men are not handsome & good-looking) ndo maana tuna struggle kupata wanawake. Tukipigwa vizinga mda mfupi baada ya kutongoza, tukiliwa nauli, tukiombwa hela mara kwa mara, tunakuja kulia humu jf, tunasema wadada wanapenda hela, wapo kimaslahi etc, ila tujiangalie na sisi, muonekano wetu unalipa? Au ni ule wa tia maji tia maji.
Mwanaume unakuta una sura ukicheka kama unalia, mnene una kitambi kama una kwasha koo, mwili una rangi mbili tofauti, halafu unamlaumu pisi kali ikikunyima namba, au ikikuomba hela mda mfupi baada ya kumtongoza, badala ya kujitathmini wewe mwenyewe in a very honest way, what's your sexual market value (SMV)
Pia nimegundua wanaume wengi humu jf wanachukia wanaume wenye muonekano mzuri kwa kuwaita mashoga au kwa kuwaponda kuwa muonekano wao is nothing bila pesa, which proves my point above kwamba most of us men aren't good looking.
Points nyingine labda Extrovert aongezee 😁