Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumkatalia mwanamke ni dhambi, tunapita nao ila kisiri sana af tunajikataa😀😀😀 kuna mmoja anafosi king kinoma sema nikimthaminisha naona nikipita chart yangu itashuka
Haiwezekani mwanaume straight muda wote unawaza ushoga.Undeni umoja wenu si ndo mlivyo mashoga kwa kuteteana!.. AF inaonekana imekuuma sana we msenge mmoja
Nataangalia next time akijipitishaKumkatalia mwanamke ni dhambi, tunapita nao ila kisiri sana af tunajikataa
Then ukiwakataa wanakuchukua vibaya sana sijui kwanini hawawezi kuhand rejectionKumkatalia mwanamke ni dhambi, tunapita nao ila kisiri sana af tunajikataa
Cha kuongezea hao wanaume wenye sura/ mionekano personal huwa wana comment yao maalumu ya " tafuta hela/pesa" kila kitu wao tafuta pesa🤣🤣🤣Habarini,
Nimeona haszu akipondwa na wanaume wa jf kwa kujiita "handsome" wengine wakimtuhumu kuwa ni shoga etc.
Ingawa ni kweli baadhi ya wanaume handsome ni mashoga, lakini haimaanishi kwamba mtu akijiita handsome, basi yeye ni shoga. Hata biblia inatambua handsome men k.v Yusuph na Absalom mwana wa Daudi.
Wengine walisema uzuri wa mwanaume uko kwenye wallet, that's not entirely true, muonekano wa mwanaume (physical attributes) una-matter kwa wadada .
Ukweli mchungu ni kuwa asilimia 80 ya sisi wanaume hatuna muonekano mzuri wa kuvutia wadada (most of us men are not handsome & good-looking) ndo maana tuna struggle kupata wanawake. Tukipigwa vizinga mda mfupi baada ya kutongoza, tukiliwa nauli, tukiombwa hela mara kwa mara, tunakuja kulia humu jf, tunasema wadada wanapenda hela, wapo kimaslahi etc, ila tujiangalie na sisi, muonekano wetu unalipa? Au ni ule wa tia maji tia maji.
Mwanaume unakuta una sura ukicheka kama unalia, mnene una kitambi kama una kwasha koo, mwili una rangi mbili tofauti, halafu unamlaumu pisi kali ikikunyima namba, au ikikuomba hela mda mfupi baada ya kumtongoza, badala ya kujitathmini wewe mwenyewe in a very honest way, what's your sexual market value (SMV)
Pia nimegundua wanaume wengi humu jf wanachukia wanaume wenye muonekano mzuri kwa kuwaita mashoga au kwa kuwaponda kuwa muonekano wao is nothing bila pesa, which proves my point above kwamba most of us men aren't good looking.
Points nyingine labda Extrovert aongezee 😁
nimepata pisi nyingine hapa!! Mwenzio nishamuomba no😂😂😂endeleeni kujisifia si na hela zetu ndo tunawala papaiHabarini,