Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi watu mnaojifanya kuupinga sana ushoga huwa ndo mnafanya hivyo vitendo sirini. Ni upuuzi kwa mwanaume rijali kuwazawaza ushoga kwenye kila kitu.Mwanaume kujiona mzuri ni dalili za ushoga hizo!
Mabasha wakiwaibukia PM msizingue sasa
Kama handsome ni handsome tu, akisifiwa au akijisifia yote sawa.
Mkuu umepaniki?Kwa hiyo asipojisifia inamuondolea huo urembo wake?
Mkuu umepaniki?
Another man down..!!Kuwa handsome sio dhambi. Ina faida kubwa mtu kuwa handsome. Hata ukienda interview ni rahisi kufikiriwa kuliko mtu mwenye sura ngumu na mwonekano usiovutia. Wanaosema u-handsome ni ushoga wana wivu dhidi ya wenzao. Tatizo ninaloliona ni ma-handsome kuvimba kichwa wanaposifiwa na kujikuta wanaongeza vikorombwezo vingine mwilini na kwenye lifestyle matokeo yake ni kuonekana shoga. Binafsi tangu utotoni nimekuwa nikitajwa kama mtu mwenye sura nzuri na mwonekano unaovutia ila kamwe sijawahi kupoteza muda kuanza kujipamba na kuleta ubishoo. Huwa nikienda kufanya marketing basi kama bosi wa taasisi ni mwanamke lazima anipe dili.
Naona unatoka nje ya mada, hapa tunaongelea uhandsome wewe unaongelea urembo kwaiyo nikafikiri nawe ni sura personal kwaiyo mada imekuchoma, anyway point yangu ni kwamba akiwa handsome basi atabaki handsome. Ajisifie asijisifie, asifiwe, asisifiwe uhandsome wake utabaki pale pale.Kipi cha kupanikisha sasa hapa?
Hilo ni swali, unaweza ukalijibu au ukalipotezea
Naona unatoka nje ya mada, hapa tunaongelea uhandsome wewe unaongelea urembo kwaiyo nikafikiri nawe ni sura personal kwaiyo mada imekuchoma, anyway point yangu ni kwamba akiwa handsome basi atabaki handsome. Ajisifie asijisifie, asifiwe, asisifiwe uhandsome wake utabaki pale pale.
Kiswahili kina upungufu wa misimiati mkuu, ukitaka kujua maana sahihi ya neno la kingereza angalia kwenye dictionary iliyofafanua kwa kingerezaAlready Google has a translation for it, so take a chill pill bro, ni maneno tu cha muhimu maana yake...see for yourself
View attachment 3006645
Ni kakahaba gani hakaWanawake wao wanasemaje kwani kuhusu Hb's vs pesa? Au nimuite sauti ya simba jike Rose shaboka atoe mwongozo.
View attachment 3006416
Linapokuja suala la ndoa Wanawake wengi wanataka mwanaume, uwe mwanaume, baba, mlezi na mlinzi wa watoto utakaomzalisha.Mkuu mimi nazungumzia genuine desire, soma kitabu cha rollo tomasi kinaitwa rational male utaelewa, mwanamke anataka lover na provider, lover ni mwanaume mwenye mwonekano mzuri, provider ni mwanaume mwenye hela za kuhudumia, anaeweza kuwa baba wa familia, sasa ni mara chache unaeza kuta mwanaume mmoja ana sifa hizo zote mbili za kuwa lover na provider
Hivyo utakuta ikifika mda wa kuolewa (miaka 28 kwenda juu), mdada anatumia logic anaangalia long term benefits, mdada anaolewa na mwanaume mwenye sura mbaya, ila ana hela Half american
Huu ndio ukweli, haiwezekani mwanaume rijali kila likiongelewa jambo ushakimbilia kulihusianisha na ushoga, inaonesha ni jinsi gani akilini mwake mawazo ya ushoga yalivyomtawalaMara nyingi watu mnaojifanya kuupinga sana ushoga huwa ndo mnafanya hivyo vitendo sirini. Ni upuuzi kwa mwanaume rijali kuwazawaza ushoga kwenye kila kitu.
Kula chuma hicho 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wanawake wao wanasemaje kwani kuhusu Hb's vs pesa? Au nimuite sauti ya simba jike Rose shaboka atoe mwongozo.
View attachment 3006416