Naomba niwe "devil's advocate" nikimtetea haszu anayejiita handsome

Kuwa handsome sio dhambi. Ina faida kubwa mtu kuwa handsome. Hata ukienda interview ni rahisi kufikiriwa kuliko mtu mwenye sura ngumu na mwonekano usiovutia. Wanaosema u-handsome ni ushoga wana wivu dhidi ya wenzao. Tatizo ninaloliona ni ma-handsome kuvimba kichwa wanaposifiwa na kujikuta wanaongeza vikorombwezo vingine mwilini na kwenye lifestyle matokeo yake ni kuonekana shoga. Binafsi tangu utotoni nimekuwa nikitajwa kama mtu mwenye sura nzuri na mwonekano unaovutia ila kamwe sijawahi kupoteza muda kuanza kujipamba na kuleta ubishoo. Huwa nikienda kufanya marketing basi kama bosi wa taasisi ni mwanamke lazima anipe dili.
 
Another man down..!!
 
Kipi cha kupanikisha sasa hapa?

Hilo ni swali, unaweza ukalijibu au ukalipotezea
Naona unatoka nje ya mada, hapa tunaongelea uhandsome wewe unaongelea urembo kwaiyo nikafikiri nawe ni sura personal kwaiyo mada imekuchoma, anyway point yangu ni kwamba akiwa handsome basi atabaki handsome. Ajisifie asijisifie, asifiwe, asisifiwe uhandsome wake utabaki pale pale.
 

Already Google has a translation for it, so take a chill pill bro, ni maneno tu cha muhimu maana yake...see for yourself

 
Wewe nawe mbona unarudia makosa kama ya wenzako sema hivi baadhi ya wanaume ni.mashoga na sio baadhi y mahandsome ni mashoga.Hivi mtu kuzaliwa handsome ni zambi au vipi
 
Linapokuja suala la ndoa Wanawake wengi wanataka mwanaume, uwe mwanaume, baba, mlezi na mlinzi wa watoto utakaomzalisha.

Ni kama tu sisi wanaume, linapokuja suala la mke tunataka mwanamke mcha MUNGU, mama na mlezi wa famila.

Mambo ya Tako sijui shape tuna kamsemo ketu, Tembo ni mzuri kumtazama huko huko porini sio umlete nyumbani.
 
Mara nyingi watu mnaojifanya kuupinga sana ushoga huwa ndo mnafanya hivyo vitendo sirini. Ni upuuzi kwa mwanaume rijali kuwazawaza ushoga kwenye kila kitu.
Huu ndio ukweli, haiwezekani mwanaume rijali kila likiongelewa jambo ushakimbilia kulihusianisha na ushoga, inaonesha ni jinsi gani akilini mwake mawazo ya ushoga yalivyomtawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…