Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

Mdudu kiwi kapita kama mshale vile πŸ˜…
hiyo Dashboard ya odometer ya speed 180 ni ya 1HZ piston 6 hata Coaster wanafunga nitakutafutia LC 100 ya miaka ya 90
nataka kukuhabarisha hao VX V8 engine 1VD-FTV wananyanyasa kwa sababu kwenye vibao vya 50 wanafukia na km sio vyeti vya Traffic unakula nao sahani moja hiyo speed yao mradi gari yako na barabara uijue, uwe mzoefu, timming muhimu.
Your browser is not able to display this video.

credit kwa whatsaap Dom - Dar VX V8 zinachapwa tu mwanawane
 
Hapo haujampita amepunguza speed kutokana gari zilizopo mbele yake tu,nahisi mbele ya safari ulikula fimbo za kutosha
 
Kwa gari za kijapan zenye CC 1990 kushuka chini ni IPi inaweza kufanya Ligi na Subaru forester?
Hizo brevis, crown na majesta zinajulikana na kila mtu kuwa ziko vizuri kuliko Subaru na hatuwezi kushindanisha na Subaru Ila kama kuna gari IPO chini ya CC 1990 inayoweza kuipiku Subaru tuambie
 
Na gari zipi za kijapan zilizo na CC 1990 kushuka chini ni za maana ?
 
Kuna Honda Civic Type R Ina 1.6L na 1.8L, Mazda Rx 7&8 zina 1.3L na Toyota Yaris 1.3L
 
Mkuu, Landcruiser mkonge 1HZ hazinaga maajabu kabisa. Yani zinachezewa hadi na IST kwa road.
 

Chombo yako inasumbua highway huko [emoji13][emoji13][emoji13] 3S anapigishwa mswaki sema nahisi ni XT hio!
Kiukwel huyo mwenye hio Altezza ni muoga, firstly, he isn't a perfect shifter look the way he gearing.
Secondly, Look the way he handling the sterling. Pia ni muoga pale alipokuwa anasubiria ile bus ipite ndio ilikuwa nafasi yake yeye kuchomoka.
 
Ah kavideo ka tamu nmekarudiarudia hii ilikua gari gani hiyo???
Maana amewakata chap kwa haraka
 
Subaru forester xT ni mnyama nakushauri uchukue. why???
Speed cha kwanza kama unapenda mbio hapo umefika lina sport button ambayo inafanya throttle response inakua chap ila consumption inakua kubwa balaa
Langu sumtyms linasoma 7km/ltr nikiweka hio mode
Cha pili looks ukipata nyeusi mm langu nilibahatisha lina aftermarket lights sio hzo za kwenye picha linakua zuri balaaa
Na pia sijui kwako ww ila exhaust system ukiibadilisha ndo linapendeza zaidi

Ila shida yake vitu vyake vina bei
Kuna wapuuzi walinichapa kale kasight mirror ka pale kwenye bonnet sijui kanaitwaje bei yake usiseme....

All in all ni gari zuri linalohitaji matunzo
Na hapo kwa mbio tu nasema hvii
Wachache sana watachomoka
 

Shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…