Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Nadhani hiyo LC100 series ni 1HD na sio 1HZ
kwen huyo mwingine gari kapaki au ipo kwenye mwendo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hiyo LC100 series ni 1HD na sio 1HZ
hiyo Dashboard ya odometer ya speed 180 ni ya 1HZ piston 6 hata Coaster wanafunga nitakutafutia LC 100 ya miaka ya 90Mdudu kiwi kapita kama mshale vile 😅
Kumbe mkuu succeed nayo ni chuma?Kama unataka chuma nenda kwa probox na succeed.unagonga hadi visiki hazibonyei
Hii ni wagon mzee au hauoni hata pocha zako zimeandika wagon..hatchback ni vile vi imprezza
Hatchback ni hicho ki imprezza hio ingine ni wagon
Hapo haujampita amepunguza speed kutokana gari zilizopo mbele yake tu,nahisi mbele ya safari ulikula fimbo za kutoshahiyo Dashboard ya odometer ya speed 180 ni ya 1HZ piston 6 hata Coaster wanafunga nitakutafutia LC 100 ya miaka ya 90
nataka kukuhabarisha hao VX V8 engine 1VD-FTV wananyanyasa kwa sababu kwenye vibao vya 50 wanafukia na km sio vyeti vya Traffic unakula nao sahani moja hiyo speed yao mradi gari yako na barabara uijue, uwe mzoefu, timming muhimu.
View attachment 1764256
credit kwa whatsaap Dom - Dar VX V8 zinachapwa tu mwanawane
Kwa gari za kijapan zenye CC 1990 kushuka chini ni IPi inaweza kufanya Ligi na Subaru forester?ina nini cha ajabu ? Sub zipo zenye cc 1500, 1990 zipo 2500 chache, na za 3000 chache zaidi na zipo turbo na non turbo hapa bongo zimejaa sana 1500 na 1990.. naona maajabu yake yapo kwenye AWD.. ila sio kasi , kama kasi atapambana na kina Brevis, Crown majesta au Athlet size zake kabisa hizo ambazo atanyooshwa vizuri sana
Na gari zipi za kijapan zilizo na CC 1990 kushuka chini ni za maana ?Kwa gari za kijapan zenye CC 1990 kushuka chini ni IPi inaweza kufanya Ligi na Subaru forester?
Hizo brevis, crown na majesta zinajulikana na kila mtu kuwa ziko vizuri kuliko Subaru na hatuwezi kushindanisha na Subaru Ila kama kuna gari IPO chini ya CC 1990 inayoweza kuipiku Subaru tuambie
Toyota rumion CC 1790 (S series)Na gari zipi za kijapan zilizo na CC 1990 kushuka chini ni za maana ?
Kuna Honda Civic Type R Ina 1.6L na 1.8L, Mazda Rx 7&8 zina 1.3L na Toyota Yaris 1.3LKwa gari za kijapan zenye CC 1990 kushuka chini ni IPi inaweza kufanya Ligi na Subaru forester?
Hizo brevis, crown na majesta zinajulikana na kila mtu kuwa ziko vizuri kuliko Subaru na hatuwezi kushindanisha na Subaru Ila kama kuna gari IPO chini ya CC 1990 inayoweza kuipiku Subaru tuambie
Mkuu, Landcruiser mkonge 1HZ hazinaga maajabu kabisa. Yani zinachezewa hadi na IST kwa road.Namiliki ile old model,twin turbo,dah!ile gari acha kabisa,huko road niliwahi kuzalilishwa na land cruser ya mkonge na v8,hamna mjinga mwingine yoyote aliekua anasumbua,kile kifaru kiko juu ya mawe mwaka wa pili sasa madogo walikiua,but najipanga nikirudishe road kwa ajili ligi tu [emoji28]
Kiukwel huyo mwenye hio Altezza ni muoga, firstly, he isn't a perfect shifter look the way he gearing.
Chombo yako inasumbua highway huko [emoji13][emoji13][emoji13] 3S anapigishwa mswaki sema nahisi ni XT hio!
Ah kavideo ka tamu nmekarudiarudia hii ilikua gari gani hiyo???hiyo Dashboard ya odometer ya speed 180 ni ya 1HZ piston 6 hata Coaster wanafunga nitakutafutia LC 100 ya miaka ya 90
nataka kukuhabarisha hao VX V8 engine 1VD-FTV wananyanyasa kwa sababu kwenye vibao vya 50 wanafukia na km sio vyeti vya Traffic unakula nao sahani moja hiyo speed yao mradi gari yako na barabara uijue, uwe mzoefu, timming muhimu.
View attachment 1764256
credit kwa whatsaap Dom - Dar VX V8 zinachapwa tu mwanawane
Mkuu, Landcruiser mkonge 1HZ hazinaga maajabu kabisa. Yani zinachezewa hadi na IST kwa road.
Cc 1990 + turbo......kuna maajabu gani kwenye subaru mkuu ? au hizo CC 1990 😄😄😄
Tena hizo mazda kwa kweli naomba uzitoe tuKuna Honda Civic Type R Ina 1.6L na 1.8L, Mazda Rx 7&8 zina 1.3L na Toyota Yaris 1.3L
Sawa mfanyakazi wa toyota na subaru 🤣🤣🤣Hajui magari huyo......
Subaru forester xT ni mnyama nakushauri uchukue. why???
Speed cha kwanza kama unapenda mbio hapo umefika lina sport button ambayo inafanya throttle response inakua chap ila consumption inakua kubwa balaa
Langu sumtyms linasoma 7km/ltr nikiweka hio mode
Cha pili looks ukipata nyeusi mm langu nilibahatisha lina aftermarket lights sio hzo za kwenye picha linakua zuri balaaa
Na pia sijui kwako ww ila exhaust system ukiibadilisha ndo linapendeza zaidi
Ila shida yake vitu vyake vina bei
Kuna wapuuzi walinichapa kale kasight mirror ka pale kwenye bonnet sijui kanaitwaje bei yake usiseme....
All in all ni gari zuri linalohitaji matunzo
Na hapo kwa mbio tu nasema hvii
Wachache sana watachomoka
Mkuu kwanini tumtoe Mazda RX 7&8Tena hizo mazda kwa kweli naomba uzitoe tu
Unazitusi