Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT


Naskia hio subaru road hana mpinzani kwa sasa
 
Soon naanza kushinda mikoani gari ambayo road ipo vzr inakimbia kwa bajeti ya 20-25m naweza pata gari gani mtaalam
Hili swali wanaliruka sana ila kwa bajet hiyo mbona subaru ndio best..

1. Subaru xt
2. Harrier
3. Vanguard
4. kluger
5. Xtrail
 
Achana nae huyo mkuu... Haijui SH5 afu anaona wengne ndio hawaijui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…